Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Haaaa haaa Masela mi nipo sema niko offline sana .
Nashkuru Mungu kajalia nimepangiwa Kj 838 Malamba- Tanga.
Tuombeane Mwisho Mwema.
 
Habari chini ya kapeti, ni kua Mwaka huu inasitishwa.. Hamtakwenda, Fedha zinaenda katika madawati
Jaribu kutofautisha jeshi na siasa, alafu huku hakuna rumors, kuna facts ndo maana kwenye uncertainty huambiwi kitu. Kwaio kulikuwa na maana gani ya kujadili na kupitisha budget? Au unataka kutuambia trillion 29 zinaenda kwenye dawati? Umeonesha tofauti gani kati yako na mwandishi wa dira? Na naomba uwe umepata nafasi ili ukajifunze nidhamu ya kuongea, hutorudi hivi amini.
 
Mungu ni mwema,zoezi limeisha salama safari ni 834KJ Makutupola Dom. Wenzangu wa DSM tunao subiri kupigiwa simu naomba tuwetunajulishana kwenye huu uzi maana unaweza jikuta napigiwa simu marasipatikan nikawa kizani buree sijui kiendeleacho.. 🙂🙂🙂🙂🙂
 
Jiandaeni pia ki saikolojia, kuna uwezekano mwaka huu ikapigwa desh...OP Kikwete bado wapo wengi na wenye uwezo wa kujaza nafasi ili bajeti ibanwe kwanza.
 
Tulikua tunahisia labda huenda sababu ni baadhi ya mikoa haijamaliza sasa yote tayari,,, budget nayo tarehe moja ndo hio mmmh.... mikataba nayo sijui itaanza kuhesabika tukiwa nyumbani....kweli huu mchezo hauhitaji hasira tuzidi kuwa wavumilivu..
 
Kuna walio ingia tayar kambi za 822,, 824 na 825 na hawajarudi hadi leo.. vp huko washaanza kozi ama wanasubiria wenzao mwenye taarifa juu ya hao atujuze aiseee....
 
Mungu ni mwema,zoezi limeisha salama safari ni 834KJ Makutupola Dom. Wenzangu wa DSM tunao subiri kupigiwa simu naomba tuwetunajulishana kwenye huu uzi maana unaweza jikuta napigiwa simu marasipatikan nikawa kizani buree sijui kiendeleacho.. 🙂🙂🙂🙂🙂
Hongera kamanda umepigana kiume haijalishi hata kama umepata kwa njia za panya,ujanja porini.tupo pamoja askari wa miguu
 
Jaribu kutofautisha jeshi na siasa, alafu huku hakuna rumors, kuna facts ndo maana kwenye uncertainty huambiwi kitu. Kwaio kulikuwa na maana gani ya kujadili na kupitisha budget? Au unataka kutuambia trillion 29 zinaenda kwenye dawati? Umeonesha tofauti gani kati yako na mwandishi wa dira? Na naomba uwe umepata nafasi ili ukajifunze nidhamu ya kuongea, hutorudi hivi amini.
Well said
 
Jiandaeni pia ki saikolojia, kuna uwezekano mwaka huu ikapigwa desh...OP Kikwete bado wapo wengi na wenye uwezo wa kujaza nafasi ili bajeti ibanwe kwanza.
Hayo ni mawazo yako binafsi mkuu
 
Back
Top Bottom