Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Watu humu wanajua mambo duuhhh!!! Ngoja tusubiri ya nani itakuwa kweli. huyu haipo, huyu mwakani, mwingine mwakani hakuna. Iv wengi humu ni wafanyakaz wa jeshi au story za vijiweni tuu???
 
Wahusika toeni tamko vijana wajue ni mwezi gani wataingia vikosini.. kusubiria kitu ambacho hujui kitafanikisha lini napo nishida... Kuna jamaa mtani alifanya usaili na akafanikiwa kupita ngazi zote akapata fomu jana kafariki na maralia..
Daaaaa inauma sana lakini basi tunasema mipango ya mungu.roho yake ilazwe mahali pema mzalendo
 
wakongwe wa jakata ebu tunaomba mtujuze kuhusiana na 834 KJ. kijana wenu tayari nimeshafunga buti nasubiri amri ya afandeee kuingia kikosini.
 
Jamani hadi sasa hakuna tamko lolote lililo tolewa vha msingi ni kuwa na subira siku ndio hizo zimesha karibia, vijana mpoooo!
 
Mkuu kumbe zile zilikuwa kamba
Tu befor hata hyo tar 9 tulitaarfwa kuwa tusiend na beg
Ati ngoma imebadlka so twend tu kusikilzia

Ila mm
Nilijua kamba tangia ile ile cku
Tulivooenda leoq
Kasema twend tena ijuma kupar update
Sio mbya hakuna kuchka kwa kuwa uvumlivu
Tutaenda i gawa najua time bado ila nahis iko karbu
Hvi tuendlee kutaarfiana
Mme Ambiwaje huko? Leo sindo ijumaa
 
Ajira ya jeshi sio kama ya mgodini au ualimu, Jeshi ni zaidi ya mlijuavyo naona mnapeana vironja vya uongo na kweli basi ili mradi kila mtu katoa taarifa tuu, muache ujuaji mwingi madogo. Jeshini kuna wasomi hadi wenye masters kadhalika PhD wametulia wanaskilizia ajira. Askari mzuri na mzalendo kwa taifa lake huwa hakurupuki na anakiwa na utimamu wa akili., tulieni.
 
Mkuu kuna mtu humu umemuona hana akili na hana utimamu?au umekurupuka usingizini
 
Back
Top Bottom