Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Ha ha ha... Manina. Ukute kiservice man kenyewe kidooogo. Ha ha ha tupe tarehe lini mkuu tuje kukutafuta huko
ndani ya mwezi wa nane around tarehe 15 mtaanza kuripoti vikosini tarehe 06/09/2016 mtafungua kozi karibuni wazalendo mjisikie mpo nyumbani yote yanawezaka ktk yeye atutiae nguvu kikubwa nidhamu na uvumilivu waziii
 
Sawa kamanda nimekucopy... Waziiiiiii
 
ndani ya mwezi wa nane around tarehe 15 mtaanza kuripoti vikosini tarehe 06/09/2016 mtafungua kozi karibuni wazalendo mjisikie mpo nyumbani yote yanawezaka ktk yeye atutiae nguvu kikubwa nidhamu na uvumilivu waziii
acha uongo we nkanga chief kuingia ni mwezi wa 9 mwishon
 
Eti wazalendo ni kweli vijana wa Tarime wako ofic za mshauri wa mgambo leo??

Mwenye taarifa aje atupe ronja tafadhari.
 
Back
Top Bottom