Ghulaam
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 1,868
- 1,495
Wee jamaa una mitusi mshukuru mungu kwa neema aliyokupa utukane na wazee wako nyumbaniStupidity is not a crime your free to go
Wee jamaa una mitusi mshukuru mungu kwa neema aliyokupa utukane na wazee wako nyumbaniStupidity is not a crime your free to go
wewe jeshi huliwezi k wwPoa ... once you chase a crazy in the street, all in a motion might have associate behavior
Your a winner i am a loser
Wanafanya nini ktk hizo ofice za mgambo?Eti wazalendo ni kweli vijana wa Tarime wako ofic za mshauri wa mgambo leo??
Mwenye taarifa aje atupe ronja tafadhari.
Ndo cjajua mkuu aleyn ila kuna taarifa hizo waliitwa. So kama kuna mtu unamfahamu umuulize.Wanafanya nini ktk hizo ofice za mgambo?
Si serikali imesema kwa sasa wizara ya mambo ya ndani imesitisha kwa muda hizo ajira.vp na anaejua ishu za polisi wadauu
Ha ha ha... Usawa kulia inaitwa hyowewe jeshi huliwezi k ww
haha tutanyosha mistari kutoka kulia mistari nyooooosha up!! laiti maker wa kongo ww maninaHa ha ha... Usawa kulia inaitwa hyo
He he he he daaah, embu tusubiri majibu.Ndo cjajua mkuu aleyn ila kuna taarifa hizo waliitwa. So kama kuna mtu unamfahamu umuulize.
Wee jamaa una mitusi mshukuru mungu kwa neema aliyokupa utukane na wazee wako nyumbani
Aise ongera kwa ilo na nivizuri kwa kua umetutangulia sisi tunajikongoja mdogo mdogoMi nilishapita huko jkt nilikuwa 825kj saivi nakula mema ya nchi samwea[emoji2]
Ha ha ha.. Umeiva. Shughulikaaaaa maninahaha tutanyosha mistari kutoka kulia mistari nyooooosha up!! laiti maker wa kongo ww manina
Tofauti..ya..Engineer...na..mhandisi...ni..nn?Ngoja nikaongeze idad ya maengineer japo wapo wengi[emoji23] [emoji23]