Usijali Afande.Safi Sana makamanda makanya Jr ukipita 823 kj uje hata kunipa hi...
MKuu tupo sema tunasaka pesa kitaa huku tukisubiria kuitwa tuitikie. Waziiii!!!.Hey.. Lj Mwambar, makanya Jr.. Chroline siku ya pili leo. Mmedoj depo... Tutakufutien mkataba waziiiii
Ha haHey.. Lj Mwambar, makanya Jr.. Chroline siku ya pili leo. Mmedoj depo... Tutakufutien mkataba waziiiii
Nakuhakikishia ninkweli kabisa,na vjana wa 822 tuko nao mtaani saiz .Kamanda kwanza hzo taarifa za wazenj kurud za kweli au
Mkuu taarifa zako za ndani zinasema kambini mwezi wa ngapi?MKuu tupo sema tunasaka pesa kitaa huku tukisubiria kuitwa tuitikie. Waziiii!!!.
Ha ha ha ha taarifa za kiintelijensiaMkuu taarifa zako za ndani zinasema kambini mwezi wa ngapi?
Mkuu inabidi tujuzane tuu kwa kweli kwa hii safari tuliyofikia. Mimi mpaka sasa nimeambiwa safari bado changa, kuanza kwa kozi sio leo wala kesho. Ila kuingia kambini sina taarifa.Ha ha ha ha taarifa za kiintelijensia
Hakuna cha zaid ya miezi mitatu.vjana wanaupinga ukweli kwa sababu hauko upande wao.ngoma ni baada ya miez mitatu tusuburiMkuu inabidi tujuzane tuu kwa kweli kwa hii safari tuliyofikia. Mimi mpaka sasa nimeambiwa safari bado changa, kuanza kwa kozi sio leo wala kesho. Ila kuingia kambini sina taarifa.
Mmmh, wewe unaweza ukalingana na mtu ambae nimetoka kuongea nae LIVE mda si mrefu yeye ameniambia ni mwezi wa 10, mwingine akasema wa 9.Hakuna cha zaid ya miezi mitatu.vjana wanaupinga ukweli kwa sababu hauko upande wao.ngoma ni baada ya miez mitatu tusuburi
hapo ni mpaka mwezi wa 9, either mwanzon au mwishon, it depend na mujibu wa sheria wanamaliza lin? but wenyewe wanamaliza wa 9 na wakumi wanaenda vyuoni, so chamsingi kuwa na subira, piah! shukuru kwa vile umeshajihakikishia nafasi yako, na piah! tunza mtaji wako afya na usije ukajihusisha na makosa ya jinai, I wish u all the best katika hilo, piah! we kaa standby for anything, si unajua jeshi alinaga official timetableMmmh, wewe unaweza ukalingana na mtu ambae nimetoka kuongea nae LIVE mda si mrefu yeye ameniambia ni mwezi wa 10, mwingine akasema wa 9.
Yes Mkuu, huko nasikia hamna formula maalumu. Mambo pia yanaweza badilika anytime.hapo ni mpaka mwezi wa 9, either mwanzon au mwishon, it depend na mujibu wa sheria wanamaliza lin? but wenyewe wanamaliza wa 9 na wakumi wanaenda vyuoni, so chamsingi kuwa na subira, piah! shukuru kwa vile umeshajihakikishia nafasi yako, na piah! tunza mtaji wako afya na usije ukajihusisha na makosa ya jinai, I wish u all the best katika hilo, piah! we kaa standby for anything, si unajua jeshi alinaga official timetable
Na vipi wale ambao hua hawaendi.?Wanadanganyana eti wa kujitolea wiki ijayo. Kwenda ni lazima ila kwa wakati utakaopangwa.
Vijana wakiambiwa ukweli wanaona kama wanatishwa. Acha atupe ukweli.Nkanga chief nakukubali kwa challenges zako, wape vijana munkari na kujitunza afya zao. Watu kama nyie kwa upande mwingine mnahitajika ili vijana wakaze buti kutimiza ndoto zao.
Wamekuja na Taatifa gani mpya??Nakuhakikishia ninkweli kabisa,na vjana wa 822 tuko nao mtaani saiz .