nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,623
mnajifanya kudata na kozi lazima aamshe mtu hapa lazima mtu anye damu jeshi siyo chuo cha ualimu au biashara kama umekuja kwa ajili ya ajira huku tegemea kuamsha
Inshu imesimama kwa ajili ya kupisha zoezi la kuchek watumishi hewa.. itachukua mwezi mmoja au Mwezi na nusu.. so subira inatakiwa
Mkuu inategemea wakubwa gani..ila poleMkuu tuko na watoto WA wakubwa kibao baba zao wamewapitisha kwa kufuata utaratibu WA wilayani hadi mkoani na wengine wamekuja kene vipimo tu. Waziii
Ha ha ha ha afandeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na ww andaa nguvu pia maana kurutu za saiz zmepindagoja wamalize mjibu wa sheria kwanza ili muwe wachache si mnajifanya majeshi mkiwa wachache hakuna kudoji temu hii mjiandae vya kutosha kuna vijana tena msata tpdf wanakuja soon anandaeni nguvu wazi lazima anye mtu damu
Acheni kupotosha watu mm npo hp Ruvu hamna walorudishwa mnatoa wp hz habar za upotoshaj?Breaking newz.vjana walifanikiwa kuingia 822 kj wamerudishwa leo mtaani,jana waliludi wa ruvu 832kj.bado 834 kj na 825kj ronja znasema napo mda wowote wanatemeshwa.depo mpaka mujibu wamalize concentretion ni kubwa adminstrastion ni ngumu .wazi
Mkuu inategemea wakubwa gani..ila pole
Wazenji.,Acheni kupotosha watu mm npo hp Ruvu hamna walorudishwa mnatoa wp hz habar za upotoshaj?
We jamaa unakera na mineno yko yeny ugwadu. Kunya damu ndo nn? Acha upuuzi tumia lugha vzr.unatish vijana nnamashak na level yko ya elimu. Kuwa mstaarabu bn.goja wamalize mjibu wa sheria kwanza ili muwe wachache si mnajifanya majeshi mkiwa wachache hakuna kudoji temu hii mjiandae vya kutosha kuna vijana tena msata tpdf wanakuja soon anandaeni nguvu wazi lazima anye mtu damu
Ndo wanawadangany?! Taarifa watawapatia wakuu wenu Wa migambo nyingne ni za maji taka.Wazenji.,
Sawa mkuuuu nmekuelewa, wazi,Ndo wanawadangany?! Taarifa watawapatia wakuu wenu Wa migambo nyingne ni za maji taka.
U said it all [emoji106]We jamaa unakera na mineno yko yeny ugwadu. Kunya damu ndo nn? Acha upuuzi tumia lugha vzr.unatish vijana nnamashak na level yko ya elimu. Kuwa mstaarabu bn.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hali ngumu ni full kudojiHey.. Lj Mwambar, makanya Jr.. Chroline siku ya pili leo. Mmedoj depo... Tutakufutien mkataba waziiiii
Mkuu sijui kama ni za kweli mana hapa kila mtu anaongea lake ndo mana wengine tupo kimya tunasubr kauli toka makao mkuuKamanda kwanza hzo taarifa za wazenj kurud za kweli au
Dah mana no morali kabsa baada ya kuona hyo komentMkuu sijui kama ni za kweli mana hapa kila mtu anaongea lake ndo mana wengine tupo kimya tunasubr kauli toka makao mkuu
Dah mana no morali kabsa baada ya kuona hyo koment
Inaweza ikawa kweli maana muda huu Nipo hapa mbezi nimeona magari mawili ya jeshi moja LA waz na lingine bus kubwa yamebeba vijana wakike na wakiume wanatokea njia ya morogoro wanaelekea townKamanda kwanza hzo taarifa za wazenj kurud za kweli au