Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,032
Wanapelekwa Depo halafu kaz hawana wakiiba kwa Silaha tunalalamika
sasa huku unafata nn chapalapa huu ni uzi wa watu waliokunywa uji wa mgonjwa na mgonjwa kafarikiAlokwambia mm naend kuanz nan?! Acha fikra za mwendokasi
karibu JFHuku akija Mtu na kitabia chake cha mtaan km hyo anayejiita cjui simba cjui paka Wa songea lazma maisha yke yawe magumu tu acpotii Amri hope mlopita tayar mnatambua... Kiherehere mwsho mlangoni kwenu.
Taharifa yako inalingana na mzee flani hivi, na yeye amesema zoezi kwa sasa limesimama. Ngoma sio leo hii.ripoti kamili;
mzee wetu magu amestopisha vijana kwenda jkt kwa mda usiojulikana. kwanza alisema hamna kwenda mpk mwakani baadae akasema mpk mwezi wa kumi ghafla akasema atatangaza kwenda vikosini mda wowote kuanzia sasa hivi. pia akaomba majina ya vijana wote watakaoenda jkt apelekewe ikulu akayapitia upya.
umuhimu wa kuchelewesha hili zoezi sio kwa ubaya, mkuu wa nchi anataka vijana wote wenye sifa wae
I [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tusha anza kukimbia km 20 ruti za mliman kujenga pumziTarehe 5 mtaondoka vijana msiwe na hofu,kunywen maji na mazoez kidogo msije mkavimba mapaja siku ya intro!!!
Mm Kuna mtu kanitonya kua muda wowote baada ya idd akanambia kama nna ruti za kwenda mikoa mingine nistop Sasa cjui ni kweli au ibaki tetesi tusikilizie tamko mmjktTaharifa yako inalingana na mzee flani hivi, na yeye amesema zoezi kwa sasa limesimama. Ngoma sio leo hii.
Idd imeshaisha Mkuu, tusubiri hayo matokeo uliyoambiwa.Mm Kuna mtu kanitonya kua muda wowote baada ya idd akanambia kama nna ruti za kwenda mikoa mingine nistop Sasa cjui ni kweli au ibaki tetesi tusikilizie tamko mmjkt
hiyo ni kweli mkuu kasema wakat wowote kuanzia sasa atatangaza, maana alistopisha alitaka majina yote apelekewe ikulu akayakagueMm Kuna mtu kanitonya kua muda wowote baada ya idd akanambia kama nna ruti za kwenda mikoa mingine nistop Sasa cjui ni kweli au ibaki tetesi tusikilizie tamko mmjkt
Makamanda Mpoooo?
Makanya Mdogo Nimerudi, Baada ya kuwa kimya kwa Muda.
Kule tutaenda Muda wowote.