Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

kwenda jeshi mtaenda tu ila msibweteke kukaaa mnakula bata tambua damu jeshini ndoo kila kitu wewe chafua damu ndoo utajua kuwa life gumu kitaa lindeni damu zenu kama mioyo yenu wazi ????ukijifanya mkuda utakitwa na wabeshi hii intakke kazi mnayo watu lazima wanye damu na nyongo vijana wa kutosha wapo kutoka msata tpdf maservice girls na boys njooni na mapuza yenu lazima mtu akate mavi maana mnajifanya mmeiva sana sijui mnadouble depo ndoo mtajuta
wee utakua umetoka uko uko tu...!!!
aya bhana si tunazilinda
 
Wakuu hivi ni kwely kwamba wizara ya mambo ya ndani imesimama kutoa ajira kama ni kwely inamaana jeshini options za ajira kama vile migration na zinginezo zilizo chini ya wizara hii zitapungua au imekaaje hii wadau kwa anajeua fleshi hii issue anisanue imekaaje....
 
Ha ha unataka kujifariji,hakuna anaejua zaid ya waziri wa mambo ya ndani aliesema kwaiyo hapa utadanganywa tu,zingatia maneno ya waziri tafadhali
 
Wakuu hivi ni kwely kwamba wizara ya mambo ya ndani imesimama kutoa ajira kama ni kwely inamaana jeshini options za ajira zitapungua au imekaaje hii wadau kwa anajeua fleshi hii issue anisanue imekaaje....
Kuna marekebisho tu ya mfumo wa kuajili na inawezekana wanaamishia ajira zote za usalama jkt.

Hivyo itakapokwa tayari wataajiri.

Na kwa mujibu wa budget ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2016/ 17 kuna ajira karibu 3700 za polic so kila kitu kitakaa sawa baada ya michakato ya marekebisho kuisha. Wazi afande
 
Wahamishie tu jkt ingekuwa bora zaid options za ajira ziongezeke kuliko kusubiria kikosi mwisho wa siku unakula za uso[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Kuna marekebisho tu ya mfumo wa kuajili na inawezekana wanaamishia ajira zote za usalama jkt.

Hivyo itakapokwa tayari wataajiri.

Na kwa mujibu wa budget ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2016/ 17 kuna ajira karibu 3700 za polic so kila kitu kitakaa sawa baada ya michakato ya marekebisho kuisha. Wazi afande
Itakuwa vizuri kama watafanya ivyo
 
Leo makamanda wetu walioko kiwila shule ya askari magereza wanahitimisha mafunzo yao ya awali,tuwatakie kila la heli ktika kuijenga na kuilinda nchi yetu tukufu.hakuna jeshi zuri kama magereza
mkuu tufafanulie magereza wazuri kvp kiutendaji au kwenye posho wako vizuri, jukwaa ni lako funguka tu mkuu
 
Mchakato wa JKT unahusiana vp na majina kukaguliwa na rais, huu ni uongo uliotukuka.

Labda kusema suala la kusimamisha ila sio kukagua majina.
huku napo kunahusika na ametaka majina apelekewe ikulu akahakiki, sasa ww unadhani kasimamisha bila sababu za msingi?
 
huku napo kunahusika na ametaka majina apelekewe ikulu akahakiki, sasa ww unadhani kasimamisha bila sababu za msingi?
Sababu zipo za msingi, ila hii ya kuhakiki majina bado ina makando kando.

Labda ingekuwa kwamba kwa kuwa kasimamisha sector zingine basi na huku nako pasubiri mpaka hapo michakato yote itakapokuwa tayari.
 
Kama ipo Ipooo .... it pain but we have to take it as how it is... that is what we term as bureaucratic cumbersome.
 
mkuu tufafanulie magereza wazuri kvp kiutendaji au kwenye posho wako vizuri, jukwaa ni lako funguka tu mkuu
Skuiz maslai ni almost sawa mkuu tofauti ni ndogo sana haionekan kwa majeshinya usalama wa raia.kama walivo polis ndivo walivo uhamiaji na magereza,
 
Wakuu kuna wale wazalendo nasikia walikuwa Kabuku, vp bado wapo kambini au nao wamerudi pia???
 
Back
Top Bottom