Mnaosubiri Kuingia JKT

moto wa maji

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
4,150
2,976
Wenzenu Wazanzibar waliokua wamewasili kwenye vikosi walivyopangiwa wamepewa nauli na kuanza safari ya kurudi mgulani wanapokutania kisha kurudi zanzibar,sasa kwa anaesubiri ajiandae kuingia mwezi wa 8 mwshon au wa 9, na kama tpdf watakua bado hawajaanza cozi basi mtaingia wa 10
 
mtaondoka tu mbona mnawenge kwani mnafikiri kule ni kula na kulala nikufanya kazi za watu nyie fanyeni maandalizi ya kutosha sisi wakati tunapiga coz pale 821kj kunawatu walijinyie uwanja wa damu siku ya introdaction so fanyenu maandalizi yakutosha sio kitoto ww.
 
kikubwa lindeni damu zenu jeshi ni damu kama unadamu chafu itakula kwenye jifanyeni mnayajua mapenzi mtarudi mahome kwenu nyama mbavu wazalendo wazi intake hii lazima mtu akojoe damu na kutapika nyongo njoeni na mapuza ya uraiani ndoo mtajua hili ndoo jeshi siyo shirika la mkonge
 
tpdf kuingia bado mkuu maana ata waloingia tpdf oljoro wana miez 6 hadi sasa wanafanya uzalendo yani bado cozi haijaanza,lakini majina yatatoka mwez wa 10
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom