Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

karibu sana MG52.....hiki kikosi munaokiita cha bata temu hii lazima mnye na mtasimulia maana nasikia mkikatwa mabogi huko mkoani ya kuja 832KJ mnashagilia kuja kula bata sasa subirieni temu hii chamoto mtakiona tu
Acha ushamba bhana watu kama nyie ndiyo huwa tunawapaga gadi za kutosha cuz huwa kama hamjielewi hivi
 
Inshu imesimama kwa ajili ya kupisha zoezi la kuchek watumishi hewa.. itachukua mwezi mmoja au Mwezi na nusu.. so subira inatakiwa
 
bona mnajifanya majeshi K kama wewe wavita taja jina lako kamili ulilotumia na kambi uliyopangiwa ili tukutane maana mnajifanya mmeiva wakati hata intro bado
brother nadhani watu wote wangekuwa kama ww, kusingekuwepo mtu kutimiza ndoto zake, unachofanya sio sahihi assume ww wangekutisha hivyo usingefanikisha malengo yako, watie moyo kama wadogo zako, ata mzazi akijua mwanae anapenda kitu fulani ata kama ni kigumu hawezi kumfunja moyo bali atamtia moyo na kumsupport sivyo hivyo unavyofanya ww, huo ni ushauri wa bure ukitaka utumie usipo utaka upuuzie, maana nimekufatilia xana kauli zako za kuwatisha wazalendo waliojitoa kwajili ya nchi yao
 
Huyo jamaa anaongea kama matani tu, wala msimchukulie serious.
 
Jamaa dzain kama anatania tu pia challenge zinahusika wakuu especially huko tunapokwenda tutakutana na mineno zaidi ya ayo wadau so ukichukulia serious unaweza ukachimba ..
 
Jamaa dzain kama anatania tu pia challenge zinahusika wakuu especially huko tunapokwenda tutakutana na mineno zaidi ya ayo wadau so ukichukulia serious unaweza ukachimba ..
Tena huko waendako ndo kuna maneno zaidi ya jamaa, maafande huwa wana majina ya vitisho sana. Hii yote ni kumfanya mtu ajue kuwa hayupo uraiani isipokuwa Jeshini, sehemu ambayo wanakaa majasiri. Ingekuwa ni vitisho vya maneno basi hata mashujaa wetu wasingepigana na Idi Amini, watu wasingepigana vita vya maji maji, Tanzania tusigeenda Msumbiji kumuondoa mreno. Wewe kama askari mtarajiwa kuwa jasiri na sio kulalamika lalamika hovyo kama vile unaonewa.
 
nani analeta mapuuza haya kuja hapa ngoja nikuitie minya popote(MP) akupe tifu la mwaka juzi. haya kunja ngumi chini, juu..chini..juu haya ruka kichura chura.. Baba wamegoma hawa watoto wa mbwa, baba ngoja niwaombee tano wasijerudi kuzimu. ah kudadeki kuruta unapiga basti njoo hapa unagomesha unagomesha minya popote njoo umpe tifu kuruta..

afu kuruta mnadoji vipindi, mikuruta mingine inadoji hadi posho,
 
Back
Top Bottom