de great
Member
- Jun 19, 2016
- 66
- 31
jamani Leo asubuhi nimepita pale kwa mkuu wa wilaya ya ilala nimeona zoezi bado linaendelea sasa sijui ndo wanapima afyaHizi taharifa mbona znakatisha mzuka jamn mie nimekunywa maji mpaka moyo unaelea kwenye maji daaaa mwez 8? hatareee sana