Recent content by Bundajo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tema mate tumchape

    Haka kamsemo kalikuwa kanatumika sana wakati nikiwa mdogo. Je kitu gani na wewe ulikuwa unadanganyiwa ili usiendelee kufanya fujo?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

    Naona Deus Kibamba kimemshuka kudadadeki. Mbwembwe nyiiiiiiingi kumbe hakuna kitu, sasa hebu tuone hayo maandamano yake.
  3. B

    JamiiForums Tanzania I really Miss you PJ ( Pakajimmy)

    Haya mambo ungemuachia AshaDii tu. Yule ndiyo huwa namkubali kwa hivi vitu vya kuanzisha thread na kujijibu. Wee unahangaika tu mkuu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Vurugu: Polisi na wanachuo wa Tumaini Makumira

    Taarifa: nasikitika kutangaza ban ya FaizaFoxy iliyotokea leo majira ya saa 5:30 usiku. JF ilitoa, JF imetwaa jina lake lihimidiwe.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania isitishe uhuiano wake na Syria kupinga mauaji ya raia?

    Uhusiano wa Syria na Tanzania ni mdogo sana kiasi cha kuanza kutoa kauli juu ya mambo yanayoendelea kule. Mimi binafsi hata sikumbuki kama walishawahi kutupa msaada hata wa kibajaji kimoja, sasa ya nini tuanze kuingilia? Cha muhimu kwa sasa ni kuangalia kama Lowassa ataweza kuchukua nchi 2015 au...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Pinda kuutema Uwaziri Mkuu?

    Unaota, unauliza au unawakilisha?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vurugu: Polisi na wanachuo wa Tumaini Makumira

    Wakati mwingine tunaweza tukawa tunawalaumu polisi bila sababu za msingi. Hivi mtu akigongwa na gari basi uamuzi ni kukusanyika na kupanga mawe barabarani? Halafu hii habari ina uhusiano gani na siasa?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro washindwa kwenye fainali za New 7 Wonders of Nature

    Afadhali tumeshindwa kwasasbabu endapo tungeshinda basi CCM yalivyo mambumbumbu yangeitumia kujisifia kwenye kampeni za 2015.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira kwa Vijana: Lowassa atabiri vita Tanzania...

    With the picture painted by an overwhelming reactions to this thread, it is undeniable that Lowassa is in line of succeeding JK. In Tanzanian politics, it is always difficult to anticipate who will become who in the future. Matters turn worse after seeing that very same clerics who once severely...
  10. B

    JamiiForums Tanzania hivi unajisikiaje ukiwa unacheki movie halafu.......

    Kata umeme
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira kwa Vijana: Lowassa atabiri vita Tanzania...

    Lowassa anaweza kuinunua hata JF impigie kampeni. Pesa ni kitu kingine kabisa.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hebu jisomee hii mbinu mpya

    Sasa ni afadhali hata angesema anapaka mrenda basi.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira kwa Vijana: Lowassa atabiri vita Tanzania...

    He was once in the JK's team and he ended up in embezzling public funds which prompted his embarassing exit.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, basi kazi ipo!!

    Knowing that his name is already mud beyond cleanliness, Lowassa won't dare play a mug's game by getting his nose into 2015 polls. What seems to be a possible alternative for him is that would perhaps put and support his man of choice for presidential post. This move where by a kingmaker decides...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hebu jisomee hii mbinu mpya

    Hapo hamna kitu kabisa lakini nashangaa watu wengine wanacheka tu ili waonekane na wao wamefika Form Two.
Back
Top Bottom