B Bundajo JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 244 Reaction score 47 Nov 14, 2011 #1 Haka kamsemo kalikuwa kanatumika sana wakati nikiwa mdogo. Je kitu gani na wewe ulikuwa unadanganyiwa ili usiendelee kufanya fujo?
Haka kamsemo kalikuwa kanatumika sana wakati nikiwa mdogo. Je kitu gani na wewe ulikuwa unadanganyiwa ili usiendelee kufanya fujo?
Mwita25 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 3,831 Reaction score 1,173 Nov 14, 2011 #2 Jembeeeee
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,384 Nov 14, 2011 #3 mwita na bundajo si ndio huyohuyo?
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,348 Nov 15, 2011 #4 Bundajo said: Haka kamsemo kalikuwa kanatumika sana wakati nikiwa mdogo. Je kitu gani na wewe ulikuwa unadanganyiwa ili usiendelee kufanya fujo? Click to expand... Mama alikuwa ananiambia kuwa kesho atanipeleka kwa Lila, demu niliyempenda kuliko wote enzi hizo, kidume nakuwa mpoleee!
Bundajo said: Haka kamsemo kalikuwa kanatumika sana wakati nikiwa mdogo. Je kitu gani na wewe ulikuwa unadanganyiwa ili usiendelee kufanya fujo? Click to expand... Mama alikuwa ananiambia kuwa kesho atanipeleka kwa Lila, demu niliyempenda kuliko wote enzi hizo, kidume nakuwa mpoleee!
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,676 Reaction score 64,656 Nov 15, 2011 #5 mwita na bundajo si ndio huyohuyo? alafu ni kama wako ban wote.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,925 Nov 15, 2011 #6 Inkoskaz said: mwita na bundajo si ndio huyohuyo? Click to expand... Dah!! JF haiishi maajabu..