Mi nasemaga hawa polisi wetu sio watanzania.
Kuna mwanajeshi m1 nilikuwa naongea naye leo akasema huwa wanatamani raia wafanye fujo ili waruhusiwe kuja kuwapiga. By the way hii avator yako huwa inaivunja mbavu.Sasa mabomu ni kwasababu gani. Mi nasemaga hawa polisi wetu sio watanzania.
Naripoti habari hii nikiwa katika eneo la tukio,hapa ni vuta nikuvute baina ya polisi na wanachuo wa chuo cha Tumaini Makumira,hii inatokana na mwanachuo EMMANUEL ULOMI kugongwa na kosta katika geti la chuo na .
Washazama ndani ya chuo,wanasababisha tu
Huyo mwanafunzi ni wa chuo inaonesha .................
Huyo mwanafunzi ni wa chuo inaonesha .......