Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

Nimeamini bila shaka kuwa Serikali ya magamba ni kiziwi kabisa. Naona inasubiri mambo ya Libya
 
Mmemwona bi kiroboto na sasa ni Kombaini anaongea,
anasema wanasoma kwa mara ya pili leo.... anawaponda wanaoongea kwenye midahalo...
sasa mie ambaye so mwanasheria najiuliza...Hivi hao woooote akina Prof. Shivji, Warioba, Kanyau, wanaharakati wooote hao akina Nkya, Kibamba and the like hawajui kuwa huu ni mswada au katiba?...mbona bi kiroboto, wasiiira na wereeema wanatuchanganya?
 
naona waziri muhusika anajiumauma hapa..... hakika sikio la kufa alisikii dawa
 
Naona Deus Kibamba kimemshuka kudadadeki. Mbwembwe nyiiiiiiingi kumbe hakuna kitu, sasa hebu tuone hayo maandamano yake.
 
Anazungumzia namna wabunge wanavyoruhusiwa kupeleka maoni ya marekebisho kama wataona kuna dosari (schedule of ammendments) na kwamba ushauri wa ziada bado unaweza kutolewa na kupokelewa kwa mujibu wa kanuni
 
Asema muswada ulisomwa mara ya kwanza Aprili 2011 na kisha maoni yakakusanywa Dar, Dodoma na Zanzibar kupokea maoni ya wananchi
 
Maandamano ndo kinafuta namuona mzee wa mvi feki lowasa anawaza''.huyu bibi komban anatetemeka tu
 
Wanatafuta kitu hao.......... Wanataka kuwashika wananchi sehemu ambazo hazishikiki!!
 
Adai maagizo waliyopewa na spika kuhusu marekebisho yamefanyiwa kazi na marekebisho yaliyofanyika hayahitaji muswada kusomwa kwa mara ya kwanza na hakuna uchakachuaji uliofanyika ingawa kuna marekebisho makubwa
 
Sasa awa magamba wameandika uwo mswada kikameroon manake nn au wanawapenda sana
 
Ndo maana ana sura kama sokwe

Hayo siyo maneno, kwa nini tusijikite kwenye hoja badala ya kutoa
lugha za matusi? Angekuwa mama yako ungesema hivyo? Binafsi
sikubaliani katika vitu vingi na huyu mama Makinda lakini kwa hili
mkuu mwenzangu umeteleza...
 
Back
Top Bottom