Kama hii ni kweli, basi kazi ipo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama hii ni kweli, basi kazi ipo!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zaratustra, Nov 13, 2011.

 1. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Niko kikazi huku kanda ya ziwa, jana kulikuwa na kikao kikubwa kwenye hoteli moja jijini Mwanza!

  Inasemekana kuwa Mheshimiwa EL, ameshaanza kampeni za uraisi 2015. Amekuwa na kikao kizito sana na baadhi ya makada wa CCM hotelini hapo! Niliowaona na kuwafahamu kuwepo ni pamoja na Hussein Bashe na mwenyekiti wa wazazi hapa Mwanza, Masota. Huyu ndo alikuwa kama organiser, alikuwa akiwapigia simu watu mbali mbali kuja kuhudhuria kikao na mara kwa mara alisikika akisema mtarajiwa yuko hapa. Walithubutu hata kutamka kuwa rais mtarajiwa ana kikao hapa.

  Kilichoshangaza ni kuwa, kuna kijana alikuwa amewaletea magazeti, huyu Masota akamtoa baru akimwita mmbea kwamba amempigia simu Riz-One kuwa kuna kikao cha kampeni. Mwanzoni alivaa sare za CCM baadae akabadilisha na akawa anasema kuwa kikao hicho ni cha kujadili mambo ya harambee ya ujenzi wa kanisa la wakatoliki na yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ujenzi huo na EL ni mgeni rasmi kwenye ibada ya harambee iliyotarajiwa kufanyika leo. Cha ajabu ni kuwa Bashe anahusika vipi na kikao cha ujenzi wa kanisa? Au ameshabatizwa?

  Naambiwa EL alikuwa na kikao cha kampeni kama hicho mjini Shinyanga juzi. Hivi pamoja na maskendo yote hayo EL ameazimia kweli kugombea urais?

  Nawasilisha!
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ama kweli EL ana roho ya paka.
  Nilikuwa siamini hata kidogo kama EL atapata urais 2015 lakini sasa kwa mbaali naanza kuiivuta picha.
   
 3. M

  MyTz JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  in blue, sina hakika nalo...
  in red, jamaa alikuwepo kwenye hilo tukio hapa Roleto- Nyakato National Mwanza...
   
 4. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Tanzania bila watu kutolewa kafara hadharani inatawalika.
   
 5. M

  MyTz JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuu hiyo kitu inawezekana kweli?
  naomba univutishe picha na mie...
   
 6. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  basi kazi ipo.
   
 7. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  EL hana tatizo!!
  ni vita vya kisiasa ndo vinamchafua!!
  Lowassa ndiye awezaye kututoa kwenye hili dimbwi la dhulma!
  EL ndiye mwenye ubavu wa kusimamisha migodi!!
  Muacheni aendelee na kumpeni na ninamtakia kila la kheri!!
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Lowassa bila katiba mpya atashinda uchaguzi hata kwa kuchakachua.
   
 9. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wacha tusubiri tuone mwisho wake.
   
 10. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  EL namkubali anaweza kutukomboa watz.
   
 11. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  "Ikulu si mahali pa kupakimbilia.... Mtu huyo mwogopeni kama ukoma" -J K Nyerere.

  Inawezekana akawa mtendaji mzuri kama unavyodai, lakini kwanini anang'ang'ania sana, why why why why?

  Kwa uchu alionao Kwanini tusimhofie?
   
 12. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Wakuu kwa kweli EL ni fisadi mno, Juzi nilikuwa huku Arusha kuna Mzee mmoja nalalamika sana kwamba EL amechuka shamba lake kwa nguvu Ekari 800 lilolopo eneo la Lokisare wilayani monduli na anataka kuwapatia wazungu wafanye game reserve na kujenga camp kwa ajili ya watalii. na huyu mzee alikuwa nalima pale miaka nenda rudi.

  Kisa cha huyu mzee kudhulumiwa na lowasa ni kwamba shamba lake hilo alikuwa hajalipatia hatimiliki, lakini si dhani hati miliki ndo iwe tiketi ya kudhulimiwa shamba na kuwapatia wazungu.

  C JAANDIKA KIUSHABIKI HAYA MANENO NI YA UKWELI, NA ANAYE TAKA TARIFA ZAIDI NITAMPATIA
   
 13. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Huyo jamaa na sifa zote alizonazo ila ni mwizi wa kupindukia!
   
 14. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Nikweli tetesi za uwepo wake kisiasa na Ushiriki wa Bashe katika Jiji la Mwanza nimezipata nikiwa Musoma na baadhi wakijiandaa kwenda Mwanza huku wakimuita Rais Mtarajiwa!
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wakati wamemweka kiganjani atfurukuta je?
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  unampigia kampeni kisiri-siri.

  hii nji heri iongozwe na mbw kuliko huyu fisadi.

  ni network ya jk.

  hatumtaki.
   
 17. B

  Bundajo JF-Expert Member

  #17
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Knowing that his name is already mud beyond cleanliness, Lowassa won't dare play a mug's game by getting his nose into 2015 polls. What seems to be a possible alternative for him is that would perhaps put and support his man of choice for presidential post. This move where by a kingmaker decides on who to become the next president of state has currently been applied in all so called democratic countries.
   
 18. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Utakuwa na chaguo gani kati ya Kiongozi mchapa kazi lakini fisadi na kiongozi malaika (mwaminifu) lakini utendaji goigoi? Watch this space, kufikia 2014 EL atakuwa kawaacha mbali wale wanaoshindana naye.
   
 19. M

  Melanoxylon Member

  #19
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ni kweli kabisa kuwa lowasa ni fisadi na hili halina shaka, lakini hapo kwa huyo mzee kunyang'anywa shamba lake, tatizo ni sheria yetu ya ardhi inampa mamlaka makubwa sana rais (serikari) kumiliki ardhi
   
 20. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,399
  Likes Received: 1,524
  Trophy Points: 280
  .........niliwahi kusema, narudia tena, tunahitaji rais wa aina hii, mwenye roho ya paka katika kutatua matatizo yetu (nieleweke-wa aina hii)
   
Loading...