Jamani kwa sasa ushabiki unaohusu imani za watu tusiufanye, 7bu mambo haya kwetu ni mageni, lakini ndo yaliyoleta shida huko Nigeria, Sudan, Rwanda, Kenya (Mombasa), Uganda, na kwingineko. Dalili zote za kujitokeza hapa kwetu zimeshaanza kiasi kwamba hata kama sisi tutayaepuka, wanetu yatawatesa...