Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,137
Mwenyezi Mungu atuepushie mbali na mimi naombanisijekutana nao
Pole sana mkuu tembea uyaone ndio hayo..
Pole sana mkuu tembea uyaone ndio hayo..
mwenzio nina bahati ya kukutana na haya mambo sana manake naish uswaz sana tu,kitaani kwetu kuna mashoga kama 3 hivi wapo wanaonekana so huwa naumia sana juu yao. njoo mtaani kwetu ujionee mwenyewe.
Nitumie namba pm ya choko/shoga moja nilikamue mbolea
sishiriki dhambia endelevu milele. mie haya mambo sitak hata kuskia rafiki yanu anashiriki
Mwenyezi Mungu atuepushie mbali na mimi naombanisijekutana nao
Pole sana mkuu tembea uyaone ndio hayo..
Huwa najisikia vibaya
Kuna mmoja nilikuwa namyanyapaa sana mahali fulani
Alikuwa anataka kunizoea afu mie sitaki hata tone, akinisalimia naitikia kama simuoni, lakini hakuwahi kuchoka.Baadae tukaja kukutana mazingira tofauti, alifurahi sana kuniona ila hakuwa na uhakika kama attitude yangu.
Baadae nilikaa nikajiuliza, hivi kwa nini nakuwa hivyo? Kuanzia siku hiyo nilianza kujitahidi japo salamu tu
Hatimaye naweza ongea naye, hata tukacheka, japo hatuko marafiki kihivyo
Na he is a good guy kwa kweli
Nadhani ni phobia, najitahidi kuipunguza japo ni kazi sana
Hapo mwanzo nilikuwa na mtazamo hasi kwa hawa mashoga lakini nimekuja kugundua yafuatayo:
1: wapo wanaume waliozaliwa huku wakiwa na homone za kike na kwa hiyo kuwapelekea kujihisi kuwa wanawake mwishowe nao kutaka kufanya ngono na wanaume
2: wapo wanaume wanaofanyiwa vitendo viovu kama kulawitiwa wakiwa wadogo na hivyo kujikuta tayari wameharibiwa. Hawa hujificha sana kwa kuwaogopa wale waliowafanyia vitendo hivyo.
3: wapo wengine wanaume wenye tamaa ya vitu kuliko uwezo wao hivyo kupelekea kulawitiwa na kugeuka kuwa mashoga.
Hawa wote wanaitia aibu jamii nzima, ila tuwalinde watoto wetu kwa hali na mali

Kongosho nipe uzoefu dungu yangu kwani mimi hawa watu yani sitaki hata kuwasikia. Yaani huwa nawaona kama watu wenye matatizo ambayo wamejitakia tu kwa hiyo hawafai kusaidia na wala kusogelewa na jamii. Kongosho tafadhari.
kaoge mto msimbazi mara saba
Mkuu ni kweli dunia imeharibika. Bahati mbaya hauna jinsi lazima ukubali kuwa hao watu wapo.
Around mtaani kwetu kuna shoga fulani limekomaa. Ni mtu mzima anafanya shughuli za kupamba. Alishajitangaza na watu wanajua. Tatizo ni kwamba ukimkimbia au kumpotezea ndio anaboa zaidi. Na ukiamua kumpotezea au kummind watu wanajua una mahusiano nae. Dah! Challenge kweli! So chakufanya kule mtaani tunakuwa nae kwa muda kupata moja baridi, then tunamuacha.
Kwenye misiba, harusi yupo. Anajua kupamba, kupika! Ni mtu mzima >40's. Dunia imeharibika!!