Recent content by BOSHOA

  1. B

    JamiiForums Tanzania Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

    Maafisa masoko wanamajibu mazuri sana eti achana na hicho king'amuzi nunua kingine tu hawapati hasara kabisa.. big up sana kwao [emoji123][emoji123] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri HR ananitaka kimapenzi

    Hapa kazi tu!, unatetemeka nini kijana fanyanyie kazi hiyo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaomtumia matatizo yetu Mange Kimambi kwa kujificha ndiyo njia ya kuyatatua kweli?

    [emoji23][emoji23][emoji23] maandamano ya Watanzania yanafanyika Marekani kwa mabango kukwepa hiyo kitu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kupinga Bahati Nasibu Tanzania

    Bahati Nasibu zinavyo tangazwa zinatamanisha kwa kweli mapesa yote hayo....... Shida wanaopata wachache wengine inabaki kuwa WAJINGA NDIO WALIWAO.
  5. B

    JamiiForums Tanzania The universe and origin of man

    *Isaya 40:28* [28]Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, BWANA, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake *hazichunguziki*. *Warumi 11:33,36* [33]Jinsi zilivyo kuu utajiri na hekima na maarifa ya Mungu! Hukumu zake *hazichunguziki, wala njia zake hazitafutikani!*...
  6. B

    JamiiForums Tanzania The universe and origin of man

    ni kweli mungu hakuumba ila MUNGU ameumba na wewe ni kazi ya mikono yake
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Naomba mchanganuo wa gharama/ mahitaji ya kufuga kuku wa kisasa broilers nataka kuanza na vifaranga 100 Naomba kujua gharama za Vifaranga Chakula cha kuku Chanjo/dawa Banda Mahitaji mengine
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe: Marufuku TV na Radio kusoma habari za magazetini kwa ujumla wake

    Anataka kunyooshwa tena na mkuu wake kama swala vyeti vya kuzaliwa, anajaribu kuwa mbunifu kwa vitu visivyo na maana kabisa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mashine za kuamua alizeti

    Habari, Ninaomba msaada wa kujua gharama za na aina nzuri ya mashine za kuamua alizeti. Aidha naombwa kufahamishwa gharama za uendeshaji zikoje ?. Nimeona fursa hii nataka kujikita katika biashara hiyo ila sina details zake. Msaada tafadhali Nawasilisha
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Diwani wa kata ya Ng`ambi jimbo la Mpwapwa Dr. Dastan Malogo amefariki dunia

    R I P Doctor and former pastor!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uchaguzi Mkuu tujiandae kushuhudia mnyukano CHADEMA

    asante kwa kutukumbusha kauli yako itakuwa Kama ya wassira tu na kauli ya wengine CHADEMA IPO imara Sana.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Pendekeza wa kurithi ukatibu wa Dr. Slaa CHADEMA

    Prof Baregu
Back
Top Bottom