Uyu dogo boya atakuwa ajui kutumia sijui.na ndio maana kuna 3bomba
hahaha..avae mpira ampe bosi hudumaMpe huduma hiyo anayotaka, acha kuremba!!
Muhubiri 7:16 Inasema, usiwe mwenye kupenda haki kupitiliza. Kwa nini kujiangamiza mwenyewe?
Be not overly righteous, and do not make yourself too wise. Why should you destroy yourself?
Ukiweza kuuelewa huu mstari nadhani utajua ni nini cha kufanya.
hahaha..avae mpira ampe bosi huduma
Ushauri huu mzuri sana akiufanyia kaz ItapendezaPole sana kwa majaribu, nakushauri mpuuze, fanya kilichokupeleka.
Mambo yakizidi, basi unaweza kuwasiliana na viongozi wa chama cha wafanyakazi kinachokuwakilisha, utawaeleza changamoto hiyo na vitisho unavyovipata huku ukiwa na ushahidi hata wa meseji.
Hao viongozi watajua mbinu za kuwasiliana na uongozi wa shirika unalofanyia kazi. Lakini pia itaweka tahadhari juu ya mpango wa kukuharibia kazi kwa mambo binafsi na kukufanya kuwa salama zaidi.
Tahadhari: usithubutu kutembea na huyo mama na kama umeanza naye, acha.
Kila la heri.
Mzee najiuliza kama anaweza kunifuata mm mgeni pale ofisini, atakuwa amewafuata wangapi kwa umri wake wa 50+
Pole sana kwa majaribu, nakushauri mpuuze, fanya kilichokupeleka.
Mambo yakizidi, basi unaweza kuwasiliana na viongozi wa chama cha wafanyakazi kinachokuwakilisha, utawaeleza changamoto hiyo na vitisho unavyovipata huku ukiwa na ushahidi hata wa meseji.
Hao viongozi watajua mbinu za kuwasiliana na uongozi wa shirika unalofanyia kazi. Lakini pia itaweka tahadhari juu ya mpango wa kukuharibia kazi kwa mambo binafsi na kukufanya kuwa salama zaidi.
Tahadhari: usithubutu kutembea na huyo mama na kama umeanza naye, acha.
Kila la heri.
Hapa kazi tu!, unatetemeka nini kijana fanyanyie kazi hiyoHabari wadau,
Ni wiki ya tatu tu tangu nipate kazi katika moja ya mashirika binafsi hapa nchini. Ni jambo la heri ukizingatia ndio kwanza nimemaliza chuo mwaka jana novemba.
Nilikuwa mwenye furaha sana kama mnavyo jua ( nilikuwa kama ndama aliyetoka zizini kwa mara ya kwanza). Ghafla faraja na furaha niliyokuwa nayo inapotea baada ya afisa muajiri (human resource) kuanza kunisumbua ananitaka kimapenzi (si vibaya), tatizo ni mtu mzima anayekaribia kustaafu (50+) yrs, ameolewa na mume wake ni boss mkubwa tu. Ni kama bibi yangu vile!
Hivi sasa amefikia pabaya, analeta figisu figisu hata kazi zangu haziendi. Ananiambia atahakikisha naiaga ofisi. Kazi naipenda haswa ila afya yangu naipenda zaidi . Nashindwa nifanye nini kwa sasa? Ushauri wenu ni wa msingi sana.
Hali hii inanifanya nashindwa kufikiri sawa sawa.