Unaweza tembelea Sido kwa mkoa uliop ukaona sample mbali mbali. Pia unaweza nicheki kwenye:0713-039875 kama utahitaji msaada zaidi, ikiwemo business plan ya biashara ya Alizeti.Habari, Ninaomba msaada wa kujua gharama za na aina nzuri ya mashine za kuamua alizeti. Aidha naombwa kufahamishwa gharama za uendeshaji zikoje ?. Nimeona fursa hii nataka kujikita katika biashara hiyo ila sina details zake.
Msaada tafadhali
Nawasilisha
kukamua au sio, nenda singida mjini kuna viwanda vidogo vidogo vingi sana kwa hiyo mambo, nahisi utaona na kujifunza mengi zaidi ya hapa JFHabari, Ninaomba msaada wa kujua gharama za na aina nzuri ya mashine za kuamua alizeti. Aidha naombwa kufahamishwa gharama za uendeshaji zikoje ?. Nimeona fursa hii nataka kujikita katika biashara hiyo ila sina details zake.
Msaada tafadhali
Nawasilisha