Diwani wa kata ya Ng`ambi jimbo la uchaguzi la Mpwapwa Dr.Dastan Malogo MD.MPH(Entomology) P.hD amefariki leo hii katika hospital ya Mkoa wa Dodoma.
Afya yake ilibadilika gafla mala tu ya baada ya kushika nafasi ya pili katika uchaguzi uwenyekti wa halmashauri ya Mpwapwa.
Kabla ya hapo na hata kabla ya kugombea udiwani alikuwa ni mnywaji wa pombe kali , aliisha onywa mala kadhaa kuhusu kilevi hicho maana killianza kumpeleka kwenye daliliza LIVER CIRRHOSIS.
Hatimae leo ameaga dunia,alihudhulia kikao kimoja tu cha madiwani nacho ni cha uchaguzi wa mwenyekiti.