Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,450
- 25,592
Azam..
ITV imekuwa takataka..
ITV imekuwa takataka..
A.ITV
B.TBC
C Azam tv
D.Channel 10
E.Star tv
F.Clouds tv
Wadau,na sisi kupitia mtandao wetu huu wa JamiiForums, si vibaya tukafanya tathimini ya ubora wa vituo tajwa hapa juu katika kuripoti habari za siasa na wanasiasa wa hapa nchini kwa usawa bila upendeleo, kwani mbali na kuvitazama, pia tunavutumia kama moja ya vyanzo vyetu ya kupashana habari hapa JamiiForums hivyo sio vibaya tukavifanyia tathimini.
Karibuni.
Mimi siku hizi naona ni bora kutazama Azam tv maana hawa ndio wako fair kwa sasa.Bahati Mbaya saana Binafsi sina Access na hiyo Azam TV. Vinginevyo labda namimi ningeona bora hiyo! Nilishaachaga zamani kuangalia TV za Tanzania, ITV kwasasa bora hata TBCCM yenyewe maana tayari inajulikani ni tabia yake kuliko ITV waliokengeuka hivi karibuni!
sasa wazee wakale wapi jamani?.Ubora katika nyanjaa ipi mkuu, kwamfano tbc wanatakuwa bora kwa kuajiri wazee,kuongee kama wanaongea na wazee wenzao, mavazi,sura,uchangamfu vyote nikizee zee tu, wanahisi wazee sijui ndo wanawaangalia...