Sio kweli ,ningetaka demu mahala hapa ningesema wazi,siamini saana katika kutafuta demu kwa njia unayohisi wewe, kinachoniumiza mimi ni kukataliwa na wasichana ambao nakuwa na hisia juu yao,kiasi cha kuhisi kuna roho ya kukataliwa inaniandama
Inauma sana kama uko kwenye hali hii,kama haujawahi...