Sitaki kurudi nyuma...

Tatizo linaweza kuwa hapo nilipo bold na hayo maswali mengine uliojiuliza maana wakati mwingine labda approach unayotumia labda imepitwa na wakati maana kama kuna watu umewazidi kipato na kimtazamo wanakupiga bao, jipange ujue kinadada wanataka nini maana wakati mwingine kinakaka huwa tunadhani kinadada wanataka ela kumbe ela ni matokeo baada ya kukubaliwa. Kuwa real yaani kuwa kama wewe sio unamtokea mrembo alafu unajifanya babu kubwa au unajifanya una akili za darasani, wakati mwingine unatakiwa umpe assignment yule unaemtokea ili na yeye afanya kazi ya kuonyesha shauku ya kutaka kukufamu in course of your discussion sio unajinadi kama unagombea ubunge kiasi kwamba demu siku moja amekujua ukoje kwani atabaki huyu nae day one tu nimekutana nae mipango kibao. Alafu utumie vijisenti kidogo hata kutoka outing na kuongea other issues apart from relationship na ndio maana huwa tunaulizana hobby zetu katika maisha ya kawaida ili upate wigo mpana wa kuongea nae ili hata ukiagana nae kesho yake awe na ajenda ya kuongea na wewe au japo ukikaa kimya anapata shauku ya kuongea na wewe kwa simu. Pia usiwe king'ang;anizi nenda mdogo mdogo kwa kuheshimu kile anachokuambia

Nashukuru kwa mchango huu ntafanyia kazi ushauri wako kwa umakini,
Kiukweli kwa haya maumivu saa zingine najiona tofauti kabisaa " feelings of becoming mad" sitaki kukata tamaa lakini kwa vitu nilivyopitia sijioni kama kuna future katika mahusiano.Mbaya zaidi linapokuja swali "shemeji mzima ? Kila siku ni kujiuma uma tu , moyo uliopondeka. Kila ninachokiandika ni ukweli mtupu ,kama una njia pia ya ziada kunisaidia kuondoka katika janga hili unaweza kuni-pm
 
damn ! rejection tena ,naombeni msaada ndugu,kwa nini wengine wafanikiwe katika mapenzi,mimi tu ndo nionewe na hawa wadada,they come close to me only when they are in trouble, kwa nini mimi tu wakati stori za siku hizi wanasema kutongoza imekuwa rahisi mbona sasa ni ngumu kwangu
 
damn ! rejection tena ,naombeni msaada ndugu,kwa nini wengine wafanikiwe katika mapenzi,mimi tu ndo nionewe na hawa wadada,they come close to me only when they are in trouble, kwa nini mimi tu wakati stori za siku hizi wanasema kutongoza imekuwa rahisi mbona sasa ni ngumu kwangu

eh ina maana kakukataa nae?uckubal kushndwa jitahd ukpata mdada ukmpenda jitahd kujenga urafk ht ujue anapenda nn na nn hapend..jitahd kumuonyesha unampenda kwa vtendo zaid kulko maneno..
 
kama haujui maumivu ya upweke unaweza usione umuhimu wa kunisaidia. Kifupi ni kuwa nimekuwa mtu wa kukataliwa kiasi cha kupoteza kabisa hata hamu ya kutongoza. Kuna mtu nimetokea kumzimia na tumezoeana kidogo and she z also single,i wish to get her pliiiiiiz assist me labda nijihisi furaha na faraja ya uwepo wa mapenzi duniani cz toka niachane na my first about seven years ago sijawahi tena kuwa ktk mahusiano ya kimapenzi sio kwamba sihitaji ila ninatoswa mpaka basi hivi ninavyoandika yaani huu mwezi nishatoswa na mademu wawili . Tatizo langu ni nini ?coz hata sielewi ,ni maneno yangu ?,mwonekano wangu ?,hali yangu ya kiuchumi ?mbona wanaonitosa mimi wanatoka na watu ambao nawazidi sana kiuchumi (kimtazamo), pliz assist cz i m badly heart with how this love thing happen to me......sitaki kumpoteza huyu sweet lady nisaidieniiii, mbaya zaidi kuna rafiki yangu ana msululu wa mabinti kama mswati so ninapoongozana nae akisindikiza one of her girls,huwa inaniumiza nikikumbuka jinsi rejections zinavyoniandama.....

Huyu jamaa mjanja anataka demu kiurahisi humu MMU, walio interested jaribuni ku pm
 
Du ungeenda Uwanja wa FISI mbona bei rahisi na hawamkatai mtu, wewe kwanini hutakoi kuoa sema wazazi wakutafutie km mdomo mzito
 
Du ungeenda Uwanja wa FISI mbona bei rahisi na hawamkatai mtu, wewe kwanini hutakoi kuoa sema wazazi wakutafutie km mdomo mzito

uwanja F sio mpango kabisa katika mipango ya maisha yangu na hata kama nikienda nitafanya ngono lakini sio kupata mapenzi
Ahsante kwa uhusika wako na ushauri pia
 
Huyu jamaa mjanja anataka demu kiurahisi humu MMU, walio interested jaribuni ku pm

Sio kweli ,ningetaka demu mahala hapa ningesema wazi,siamini saana katika kutafuta demu kwa njia unayohisi wewe, kinachoniumiza mimi ni kukataliwa na wasichana ambao nakuwa na hisia juu yao,kiasi cha kuhisi kuna roho ya kukataliwa inaniandama
Inauma sana kama uko kwenye hali hii,kama haujawahi kuwa hivi huwezi jua maumivu yake.
Tuzidi kushauriana
 
Back
Top Bottom