Watangazaji wakali Tanzania upande wa radio!

Ragnar Fluke

JF-Expert Member
May 22, 2012
374
115
Hali zenu wana jf! Mda mwingi mimi nkipumzika napenda kusikiliza radio hivyo mda huo nmebahatika kusikia sauti za watangazaji kadhaa ambao nliona ni wakali nao ni hawa Millard Ayo, B dozen, Mchomvu, Dina Marios wote hawa wa clouds fm, Sam Missago, Sebastian, Michael Baruti kutoka Ea radio, Maulid Kitenge na Issack Gamba wa radio one, Halima Kassim (HK) wa kill fm na Gadner aliyekuwa clouds sasa Times fm bila kusahau mh mbunge Juma Nkamia aliyekuwa Tbc. Mdau mwenzang wanaojitahidi kwa upande wako ni akina nani? Kumbuka kila mtu na chaguo lake na mapenzi yake binafsi................!!! Asante..!
 
1.Godwin Gondwe wakati akiwa radio free.
2.Lenard Mambo Mbotela wa KBC ya Kenya
3.Mwai Kikonyo wa VOA
3.Masud Masud
4.Swed Mwinyi TBC
5.Marehemu Halima Mchuka.
Ni wengi sana ila kwa hawa inatosha.
 
Reuben Ndege...ncha kali.
b12
Milard Ayo
Maulid Kitenge...jezi na 9 mgongoni
Regina Mwalekwa...
 
1. Yusuph Omar Chunda
2. Chisunga Steven
3. Bati Kombwa
4. mshindo Mkeyenge
5. Dominic Chilambo
6. Taitas Philipo
7. Idrisa Sadala
8. Nswima Ernest
9. Tumbo Tamim Risasi
10. Abisai Steven
11. Ben Kiko

wengine ni Suleiman Mhogola, suleiman Mkufya, Albert Msemembo, Barnabas Mluge, na Peter Makorongo

Mpumzike mahala panapostahili woote mliotangulia mbele za haki...
Hakuna kama ninyi
 
pia kuna
1. Siwatu Luanda
2. Salama Mfamao
3. christina Chikonogela
4. Eda Sanga
5. Deborah Mwenda
6. Aloisia Maneno
7. Sango Kipozi
8. Sarah Dumba
9. Betty Mkwasa
10. Halima Kihemba
11. Aloisia Isabula
12. Domitila Urassa
13. Shida Masamba
14. Rsemerry Mkangara
15. Nyambona Masamba
16 Thekla Gumbo
17. Faudhiat Ismail Abood

Hawa ndio walikuwa watangazaji wa kike...
Hapo hakuna cha Gea Habib wala Dj Fetty wala ushuzi mwingine wowote ule wa sasa.
 
pia kuna
1. Siwatu Luanda
2. Salama Mfamao
3. christina Chikonogela
4. Eda Sanga
5. Deborah Mwenda
6. Aloisia Maneno
7. Sango Kipozi
8. Sarah Dumba
9. Betty Mkwasa
10. Halima Kihemba
11. Aloisia Isabula
12. Domitila Urassa
13. Shida Masamba
14. Rsemerry Mkangara
15. Nyambona Masamba
16 Thekla Gumbo
17. Faudhiat Ismail Abood

Hawa ndio walikuwa watangazaji wa kike...
Hapo hakuna cha Gea Habib wala Dj Fetty wala ushuzi mwingine wowote ule wa sasa.

Heshima kwako mkuu umetisha!
 
Wa zamani
mike mhagama
sebastian maganga
john dilinga



wa sasa

steve kafaya
mr fleva
gadna g habash
 
1. Yusuph Omar Chunda
2. Chisunga Steven
3. Bati Kombwa
4. mshindo Mkeyenge
5. Dominic Chilambo
6. Taitas Philipo
7. Idrisa Sadala
8. Nswima Ernest
9. Tumbo Tamim Risasi
10. Abisai Steven
11. Ben Kiko

wengine ni Suleiman Mhogola, suleiman Mkufya, Albert Msemembo, Barnabas Mluge, na Peter Makorongo

Mpumzike mahala panapostahili woote mliotangulia mbele za haki...
Hakuna kama ninyi

mkuu umenikumbusha mbali kutoka nyanda za juu mm ni Abisai stevin,Charles Hilary alinikosha sana
 
Idrisa sadala michezo radio Tanzania Mbeya,ndivyo ilivyokuwa ikisikika sauti yake
 
1.Adam Mchomvu
2.Millard Ayo
3.Sam Missago
4.B-12
5.Ezden Jumanne
6.Dina Marios
7.Dee7
8.Dj Fetty
9.Nchakali
10.G.Hando
 
Kwanza nimecheka sana lakini pili nakushukuru sana umenikumbusha mbali sana, ni kweli hawa ndo walikuwa watangazaji, Oooh God! R.I.P Siwatu Luanda, Halima Mchuka, Dominic Chilambo & others

pia kuna
1. Siwatu Luanda
2. Salama Mfamao
3. christina Chikonogela
4. Eda Sanga
5. Deborah Mwenda
6. Aloisia Maneno
7. Sango Kipozi
8. Sarah Dumba
9. Betty Mkwasa
10. Halima Kihemba
11. Aloisia Isabula
12. Domitila Urassa
13. Shida Masamba
14. Rsemerry Mkangara
15. Nyambona Masamba
16 Thekla Gumbo
17. Faudhiat Ismail Abood

Hawa ndio walikuwa watangazaji wa kike...
Hapo hakuna cha Gea Habib wala Dj Fetty wala ushuzi mwingine wowote ule wa sasa.
 
1. Yusuph Omar Chunda
2. Chisunga Steven
3. Bati Kombwa
4. mshindo Mkeyenge
5. Dominic Chilambo
6. Taitas Philipo
7. Idrisa Sadala
8. Nswima Ernest
9. Tumbo Tamim Risasi
10. Abisai Steven
11. Ben Kiko

wengine ni Suleiman Mhogola, suleiman Mkufya, Albert Msemembo, Barnabas Mluge, na Peter Makorongo

Mpumzike mahala panapostahili woote mliotangulia mbele za haki...
Hakuna kama ninyi
Hapa wamesaulika Khalid Ponera, David Wakati, Abdul Ngalawa na Abdallah Mlawa.
 
1.Ezekiel Malongo(beki wa kupanda na kushuka)
2.Rubunga Biombe
3.Salehe Mwanamilongo
4.Patrice Chitera
5.Abubakary Sadik(kwa fujo)
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom