Recent content by blandes 001

  1. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    mm nishakata tamaa kabisa.. niliapa kabisa kama sitopata Mdas na Lgas sitoomba tena ajira psrs ..nmesoma kwa tabu sana..kipindi cha writen nilikuwa nalala masaa 2 tu kwa siku…kwenye kikazi nilicho jishikiza ilibaki robo tu nifukuzwe kwa ufanisi kupungua ….inakatisha sana tamaa..Tanzania life is...
  2. B

    Eid Vs Pasaka na X-mass

    Ok labda namm niweke sawa Kwa dsm Wilaya ya Temeke Mbagala,tandika,buza,keko mbgala kuu.wengi ni waislam..eid huw ni skukuu kubwa sana..ndo kunaongoza kwa UMASKINI Ilala Imegawanyika kwa maeneo mfano boma,buguruni,kkoo wengi ni waislam..ukienda g mboto.l,kivule,chanika,pugu ule ukanda wa...
  3. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    "nnacho ipenda hii PAGE tunatiana sana Moyo" mapambano ya watoto wa ki maskin ni mazito sana
  4. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    bro hao jamaa mishahara yao ni ya kawaida..ila marupu rupu hadi utakimbia mwnywe..mshahara hugusi...hao humu hawawazunguzii ila huko ni balaaa
  5. B

    Usiyoyajua kuhusu Senegal

    wew nchi inaongoza kwa wakristo wengi ni CONGO KWA AFRICA
  6. B

    Serikali ingilieni suala la mabasi kutembea kwa mwendo kasi

    hakuna bus inayotembea 85km/hr...hata zuberi zinatembea 120km/hr...ishu ni kucheza na askari ROAD gari zinazomwaga motto njia ya kati KATARAMA ALLYS WINCHESTER ALLYS UN STOPPABLE ALLYS EBF VVIP HAPYNATION hizi chuma siti ya mbele hupati na haziuzwi kam hawakufahamu..OVER!!!!
  7. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hvi kama ukipata placement..uko kwenye my application (account) yako..huwa panandikaje??.msaada
  8. B

    Kuna mwenye uzoefu wa kudate na mwanamke Engineer humu?

    Ni engeneer wann Na yupo mkoa gani? Then nikupe ushauri mzuri
  9. B

    Unadhani nani anafaa kumrithi Kassim Majaliwa endapo akiachia nafasi yake?

    Habari wakuu, Kwa hali inavyoendelea hvi sasa, naona Kuna cheche za chini chini kwamba mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kujiuzulu uwaziri mkuu au kupigwa chini baada ya mh Rais kusema atabadili Baraza la Mawaziri. Binafsi napendekeza watu wafuatao wanaweza kushika vzuri nafasi yake na...
  10. B

    Huyu mtu tena

    Uyo yanga lialia.na hajifichagi.alifukuzwa kazi Azam kwa sababu ya game ya Azam na yanga.azam ilipopata Gori.alijisahau akashangilia mbele ya ma boss[emoji16][emoji16].NI YANGA LIA LIA UYO
  11. B

    IFM wana matatizo gani? Wanafunzi watatu wa kiume wamejirekodi picha mbaya!

    Wakuu mwenye anayo anitumie in box.kabla sija comment
Back
Top Bottom