Joop
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 346
- 672
Christmas... Christmas... Christmas...
1. Ni sikukuu ya kufungia mwaka
2. Ikifika Disemba tu huwa zinaanza zile nyimbo za kuikaribisha.. Mary's boy child... Feliz navidad... jingle bell...
3. Ni sikukuu ambayo karibu kila ofisi inapambwa vizuri... na hata hata baadhi ya nyumba pia
4. Naamini kuwa ni sikukuu ambayo ina biashara zaidi... kununua na kuuza mapambo
5. Tofauti na Eid na Pasaka ambazo watu kufunga na ni kama husheherekea kumaliza mfungo (na sio sikukuu yenyewe) hii watu hawafungi wala nini ila inakuja kama ilivyo..
6. Imeongozana na sikukuu kubwa pia (ya Mwaka mpya) ila imeweza kutoboa na kusimama kuwa moja ya sikukuu kubwa.
Hakika Watumi walijua kutucheza na kuunda hili dude