HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wote hatuwezi fanya kazi TCRA , pale unapopata kwa wakati huo ndipo Mungu anapaokuwa amekupangia, akitaka kukuinua atafanya njia zake atakutoa tena hapo ulipo na kukupeleka pale atakapotaka, kwa kawaida Mungu wetu ni wa utaratibu na humpa mtu ridhiki kwa mapenzi yake mwenyewe na siyo mapenzi ya wanadamu, hivyo nawashauri vijana wenzangu popote utakapopata mshukuru sana Mungu na nenda ukafanye kazi, unajua daima Mungu humuazia mwanadamu mema, anapokupangia sehemu ya kazi kwa wakati huo ujue ndio hapo alipopenda uwe kwanza , hebu jiulize unafanya saili ngapi na unakosa ? Kwa nini upate hiyo uliopata sasa?. Halafu huko halmashauri kunako semwa vibaya kwani hakuna wafanyakazi wanaofanya kazi huko? , mbona kama magari watumishi wa halmashauri wanayo, wanasomesha watoto wao katika shule nzuri tu, swala la msingi katika maisha ni kuridhika na hali na utakatifu hayo ndio mambo yanayompendeza Mungu, kwa maana bado hata ukienda huko TCRA na kwingineko usipo ridhika bado hata huo mshahara unaosema ni mkubwa bado kuna kipindi utaona hautoshi , mwisho wa siku utaingia tu kwenye madili ya upigaji. Tusidanganyike na kauli za vijana wenzetu humu kuhusu halmashauri, ukipata Mshukuru Mungu nenda kafanye kazi kwa bidii , ukimtanguliza Mungu na kuweka jitihada katika mambo mbalimbali ikiwemo kujiendeleza kitaaluma uwe na hakika yeye aliyekupa hapo atakufanikisha zaidi na zaidi na maisha yatasonga mbele kwa ushindi kabisa.KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA.
Mkuu,,umeongea mambo ya msingi sena hapa. Kunae Baadhi ya vijana wenzetu wapo kwa ajili ya kuwakatisha tamaa wenzao
 
Ukikatishwa tamaa na watu huwezi kufanikiwa hata siku moja wewe pambana utakapopata changamoto utajua namna ya kutatua na maisha yakaendelea
 
Kama ulifanya usaili na ulifanya vizuri ila ulikosa nafasi kutokana na uchache wa nafasi Jipige kifua sema huu mwaka wetu na umebarikiwa sana sasa ni saa 11:10 nitarudiiiiiiiiiii Kabla ya Eid Fitriiii au Baada inshallah
Mkuu hii statement "kama ulifanya usaili na ulifanya vizuri ila ukakosa nafasi kutokana na uchache wa nafasi" hapa ndio kwenye fumbo. Anyway kila aliyefanya Oral interview na akakosa nafasi ya kazi hua ana imani yupo Database, na ikawe heri kwetu sote.

Mimi bado nasubiri na mpaka sasa Kada yangu imeita 6 out of 26
 
umenena vyema mkuu
 
Mim kuna kitu sikielewi bado kwan hizi status za ajira portal kwenye website na kwenye app zina maana yeyote?
 
Kama ulifanya usaili na ulifanya vizuri ila ulikosa nafasi kutokana na uchache wa nafasi Jipige kifua sema huu mwaka wetu na umebarikiwa sana sasa ni saa 11:10 nitarudiiiiiiiiiii Kabla ya Eid Fitriiii au Baada inshallah
Vijna wanapenda post zako bwana makofia kwa sababu zimejaa za ndani ndani kulee na hua hukwepeshi mambo hahahah....soon wale wa database watacheka kicheko cha furahaa kubwa ya kuingia kwenye grdi ya taifa ya asali
 
Wote hatuwezi fanya kazi TCRA , pale unapopata kwa wakati huo ndipo Mungu anapaokuwa amekupangia, akitaka kukuinua atafanya njia zake atakutoa tena hapo ulipo na kukupeleka pale atakapotaka, kwa kawaida Mungu wetu ni wa utaratibu na humpa mtu ridhiki kwa mapenzi yake mwenyewe na siyo mapenzi ya wanadamu, hivyo nawashauri vijana wenzangu popote utakapopata mshukuru sana Mungu na nenda ukafanye kazi, unajua daima Mungu humuazia mwanadamu mema, anapokupangia sehemu ya kazi kwa wakati huo ujue ndio hapo alipopenda uwe kwanza , hebu jiulize unafanya saili ngapi na unakosa ? Kwa nini upate hiyo uliopata sasa?. Halafu huko halmashauri kunako semwa vibaya kwani hakuna wafanyakazi wanaofanya kazi huko? , mbona kama magari watumishi wa halmashauri wanayo, wanasomesha watoto wao katika shule nzuri tu, swala la msingi katika maisha ni kuridhika na hali na utakatifu hayo ndio mambo yanayompendeza Mungu, kwa maana bado hata ukienda huko TCRA na kwingineko usipo ridhika bado hata huo mshahara unaosema ni mkubwa bado kuna kipindi utaona hautoshi , mwisho wa siku utaingia tu kwenye madili ya upigaji. Tusidanganyike na kauli za vijana wenzetu humu kuhusu halmashauri, ukipata Mshukuru Mungu nenda kafanye kazi kwa bidii , ukimtanguliza Mungu na kuweka jitihada katika mambo mbalimbali ikiwemo kujiendeleza kitaaluma uwe na hakika yeye aliyekupa hapo atakufanikisha zaidi na zaidi na maisha yatasonga mbele kwa ushindi kabisa.KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA.
Naona mawakala wanatulazimisha Turidhike, 👆 hii post imeeka kinyonge sana
 
Back
Top Bottom