Address yako umeweka wapi?MREJESHO:Asanteni sana ndugu zangu.....Kuna namba nilitumiwa nijaribu nayo pia baada ya kupiga sana wakapokea!!Nimewaeleza ilivyokua na wakaniuliza majina yangu matatu wakanichekia kwa system wakanambia nitakua nalog in kwenye akaunt yangu ya ajira portal niwe nachungulia mara kwa mara wamenambia hadi jumatano nitakua na majibu kamili.....
Nimewaza sijui wataamua nini maana yalikua makosa yao na mfumo wao....