HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wanaohitaji Developer/programmer 50 TRA

Tumefanya 836 written
Wamepunguzwa 687
Tumebaki 149.

Tumefanya practical 149,
Tumefaulu 48.
Wamepunguzwa 101,

Tunaenda oral interview 48
Wamepunguzwa 9,
Tumebaki 39.
Nafasi zilikuwa ngapi?
 
Baada ya vikao kadhaa hatimaye utumishi imezirudishia uwezo wakusimamia mchakato wa ajira (kuajiri) baadhi ya taasisi za serikali ambazo mishahara yao haitegemei hazina.
NB: Agizo la Rais ni sheria
GM
Wapo wachache watakao ona ni jambo jema ila ni moja kati ya maamuzi ya hovyo na yenye maumivu kwa wengi,

Japo wengi wana omba kazi utumishi na kukosa ila wengi bado wanaimani kubwa na utumishi kwenye hizo taasisi zote zimejaa ukititimba na ubinafsi mkubwa ikiwa ni kweli basi vijana wengi wa kitanzania wasaka mrija wa asali watabaki na majonzi makubw amioyoni mwao na kukata tamaaa.

“Ukiona wenye akili wamekubaliana jambo la kijinga basi tambua wote wako na malisahi nalo”
 
Baada ya vikao kadhaa hatimaye utumishi imezirudishia uwezo wakusimamia mchakato wa ajira (kuajiri) baadhi ya taasisi za serikali ambazo mishahara yao haitegemei hazina.
NB: Agizo la Rais ni sheria
GM
Kwahiyo jengo jipya linalojengwa kwa ajili ya kukanda watahiniwa wanachezea kodi za wananchi.......kwahiyo serikali kuu kazi yao itakuwa ni nn?....maana sasa hivi vibali vyote vya kazi vinapitia huko tofauti na kipindi cha utawala wa jakaya
 
Wanaohitaji Developer/programmer 50 TRA

Tumefanya 836 written
Wamepunguzwa 687
Tumebaki 149.

Tumefanya practical 149,
Tumefaulu 48.
Wamepunguzwa 101,

Tunaenda oral interview 48
Wamepunguzwa 9,
Tumebaki 39.
Hongera sana mkuu japo sikubahatika kupata ila mchuano kwenye kada za tehama ulikua mkali sana niwatakieni kila la kheri

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Wanaohitaji Developer/programmer 50 TRA

Tumefanya 836 written
Wamepunguzwa 687
Tumebaki 149.

Tumefanya practical 149,
Tumefaulu 48.
Wamepunguzwa 101,

Tunaenda oral interview 48
Wamepunguzwa 9,
Tumebaki 39.
Hao 11 wanapatikanaje? Au hizo nafasi watatangaza Tena? Hapa huwa ndo siwaelewi wale jamaa.
 
Back
Top Bottom