Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,614
Hongera sana mkuu.Nashukuru nimepata placement hatimae balozi limited. Tusikate tamaa wadau.
Hongera sana mkuu.Nashukuru nimepata placement hatimae balozi limited. Tusikate tamaa wadau.
mwezi wa saba? hahaAcheni Psrs
Mwaka wa fedha 2023/24 Tuombe Mungu atujalie Uzima na afya.
wewe unatakiwa ujiulize lini utumishi walitangaza ajira kwenye kitengo chao...PDF la database tuwadai tusikubali kudanganywa hivi
Naomba kutoa ufafanuzi kwa kadri ninavyoelewa.Si kuna wanaoitwa Agro-Economy??
Na wengine Agro-Business kabisa au hatuelewi tunapotezwa na majina hayo?
Sijakuelewawewe unatakiwa ujiulize lini utumishi walitangaza ajira kwenye kitengo chao...
utapata jibu au lisome vinzuri hilo tangazo la kazi waliopangiwa wamesema nov/dec to 4january 2023 wanamaanisha nn
Soma tangazo lao hapo [emoji116] hao hawajawai kuita interview ila wamepangiwa...sasa tunauliza data base wakati tunaona wanatoa kidogo kidogo?swali la kujiuliza wanamaana gan wanasema waliofanya usaili nov/december na jan 4 wakati hawajawai ita tangazo lao+ watu Data base wanamaanisha nini?Sijakuelewa
Kwa maana hiyo wewe kama ulipiga interview hizo tarehe na haujatokea kwenye hyo PDF ndo kusema Baba jeni bye byeeeee???wewe unatakiwa ujiulize lini utumishi walitangaza ajira kwenye kitengo chao...
utapata jibu au lisome vinzuri hilo tangazo la kazi waliopangiwa wamesema nov/dec to 4january 2023 wanamaanisha nn
Mpaka sasa statement yao sijawaelewa walikuwa wanamaanisha nini...?Ila Mungu ni mwema atatupigania !!!!!Kwa maana hiyo wewe kama ulipiga interview hizo tarehe na haujatokea kwenye hyo PDF ndo kusema Baba jeni bye byeeeee???
Au kuna maana nyingne
Huyo ni mchumi.hongera sana mtaalam wa computer
Wa January nne washaitwa ni it technician na programmer wa tra ambao hawakuitwa nadhaniSoma tangazo lao hapo [emoji116] hao hawajawai kuita interview ila wamepangiwa...sasa tunauliza data base wakati tunaona wanatoa kidogo kidogo?swali la kujiuliza wanamaana gan wanasema waliofanya usaili nov/december na jan 4 wakati hawajawai ita tangazo lao+ watu Data base wanamaanisha nini?View attachment 2540403
programmer wa wa tra wamelamba asali tamu Utumish...kwa mwendo huo soon TRA wataita watu wengine kazini kama wanaenda kwa mtiririko huo wanaonyesha.....Wa January nne washaitwa ni it technician na programmer wa tra ambao hawakuitwa nadhani
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mungu ni Mwema kila wakati,tusikate tamaa wala tusiogope,ukawe mtumishi mwema maana Bwana umemfurahisha machoni pake na amekuteua wewe miongoni mwa kondoo wake,ukiona tunalalamika sana usitukufuru kwa vile tu hata shetani mwanzo alikuwa malaika mtiifu wa Bwana.Asante sana sote tutapata, tuwe na subira muda unakuja
Hongera mno bossNashukuru nimepata placement hatimae balozi limited. Tusikate tamaa wadau.
Inabaki vile vile Selected for OralHvi kama ukipata placement..uko kwenye my application (account) yako..huwa panandikaje??.msaada
Naomba kutoa ufafanuzi kwa kadri ninavyoelewa.
SUA kuna degree programmes za kilimo kama vile;
1. Agronomy, hawa ni wataalam wa udongo nk.
2. Horticulture, wataalam wa mboga mboga, matunda, maua nk.
3. Forest, wataalam wa misitu hawa.
4. Agribusiness and Agriculture economics(AEA). Watu wa kilimo biashara na uchumi wa kilimo.
5. Agriculture engineering.
6. Irrigation and water resources engineering.
Nk nk nk....
kuna mtu aliyetoka Oral kwenye application yake ikaandika not seleted for oralInabaki vile vile Selected for Oral
Yes wapo, hata humu zimetumwa sana screenshotskuna mtu aliyetoka Oral kwenye application yake ikaandika not seleted for oral