HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sas hv mm ngoja nichague kukaa tu kimya!
Maana tukiongea inaonekana ni nongwa la kukandwa na PSRS......
Haijalishi tunachoongelea ni uhalisia au makasiriko
Waeke kwenye maombi PSRS hasa Katibu Mkuu.....Maana changamoto anazopitia kwa bestlooser azidi kuzitekeleza kwa Iman katika mfungo huu wa ramadhani....

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kwa Part ya report hii ya CAG!!!
Mh.Waziri, Naibu Waziri na Katibu Mkuu(Utumishi) &Katibu Mkuu(PSRS) mpo kwenye mfungo wa ramadhani kutimiza nguzo kuu za Iman...

Hawa wakuu wa Idara (Mapungufu ya CAG) wanaweza kuwapa majibu gani juu ya tumain/Faraja yenu kuwapa ajira vijana second selection 1700+ (Data base) bila nyinyi mliobeba dhamana (Waziri,N/waziri na Katibu Mkuu) kwa vijana kufanya maamuzi magumu kuokoa wimbi kubwa la vijana kukaa mtaani.......

Mungu awasimamie katika majukumu yenu ya kazi pasiwepo na vikwazo mtekeleze mpango wenu wakuwapa bestlooser(database) ajira ...
IMG_20230408_201253.jpg

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Duh kumbee!!hawa jamaa nilidhani wana ukame wa hali ya juu [emoji28]
Kuna mtu namfahamu yupo MWAUWASA tangu miaka ya Late 90. Nimekuja kumfahamu early 2000 alikuwa njema.

Cha kufurahisha zaidi nimewahi kuishi naye kwa miaka kadhaa late 2000.

Aliingia Mwauwasa akiwa na Diploma, akawa na majukumu ya Wasoma Mita.

Kwa kuwa sikujua kama kuna Asali nzito zipo maeneo mbali mbali katika umri ule niliokuwa ingali sijawa mkubwa, Asali yake naweza kuifananisha na Asali ya eGA, TPA, NCAA n.k kwa enzi hizi ambapo nishajua aina mbali mbali za Asali.
 
Naomba kuuliza hivi mfano unaweza kupata post unayo kudirect wizarani na wizara ikakupanga moja ya taasisi zilizoko chini yake au kila taasisis unaajiri kivyake

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Yes, inawezekana kuna watu wanapata wizara ya fedha dhen wanapelekwa hazina ndogo, kuna mtu aliwah pata wizara ya afya then akapelekwa hospital ya rufaa mbeya. But kuna taasisi zinaajili zenyewe direct
 
Kwa Part ya report hii ya CAG!!!
Mh.Waziri,Naibu Waziri na Katibu Mkuu(Utumishi) &Katibu Mkuu(PSRS) mpo kwenye mfungo wa ramadhani kutimiza nguzo kuu za Iman...
Hawa wakuu wa Idara(Mapungufu ya CAG)wanaweza kuwapa majibu gani juu ya tumain/Faraja yenu kuwapa ajira vijana second selection 1700+ (Data base)bila nyinyi mliobeba dhamana(Waziri,N/waziri na Katibu Mkuu) kwa vijana kufanya maamuzi magumu kuokoa wimbi kubwa la vijana kukaa mtaani.......
Mungu awasimamie katika majukumu yenu ya kazi pasiwepo na vikwazo mtekeleze mpango wenu wakuwapa bestlooser(database) ajira ...
View attachment 2584113

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Wenye sifa wapo mtaani wanazurura na bahasha na hawajui kesho yao
 
Back
Top Bottom