Sarakasi at best
Kwanza huyu ndg Zitto uwa sijui anajaribu kuprove nini?
Sasa hivi amebanwa hana pakutokea anadhani rufaa itamuokoa. Angejua kuwa huyo mediocre lawyer wake anavyozidi kufunua rangi zake halisi asingehangaika na press conference
We nawe unakuwa kama una wazimu anayeongeza mgogoro si hao madogo wanaokimbilia media kutwa.Wao wanaonyesha kuwa hawapendi kuongozwa na kuwa wao ni wasmart mno wako juu ya chama na kila mtu sasa basi waende wakaanzishe chama chao
Madogo hayana nidhamu kabisa
Afrika kuna soko kubwa sana la wanaojichubua. Hiyo inawahathiri wengi si tu wenye elimu ndogo ni ishu ya self esteem. Watu wenye light skin wanachukuliwa kuwa superior
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.