Huyu mkaka jamani lol

Huyu mkaka jamani lol

mnhhhhh....
if he cant...try me ....

20131128_185330.jpg
 
Umemsahau Kongosho...

Shhhhhh....:tape:

Mbona watu8 ni shem wangu!?? Yaani yeye kamchukua dada yangu, na mimi nitamuoa dada yake soon!!!😎

sakapal, nilikuwa nalo la ukweli kutoka kwa al-shabaab wa Paloma (did u know she puffs too!??) sema ndo ishu za westgate zilimkimbiza nchini sijui kenda wapi tena!!!

what the he.........?!?!?
heheheee ndo mambo yenyewe haya.......?!?!?
 
Mwanaadamu ni mnyama na fact hio haitobadilika,na ukimtest to the maximum anaweza afanye kitu chaajabu sana just for survival mfano mzuri ni njaa au kiu....let say umestuck somewhere kati kati ya bahari unajua kabisa una kiu ya kufa mtu na ukinywa maji ya bahari una dehydrate na bado ikisha waenda kuyakimbilia na kuyanywa maji yaleyale mweh :A S 39:!Btw passionlady anazungumzia kule kula kwa yale mambo yetu flani flani si unajua tena Kaizer

MAmbo flani flani.......mmmh
 
Hi guys, Jamani kuna mkaka mmoja alihamia hapa jengoni kwetu kutoka Mkoani. Huyu mkaka ni handsome aisee kwa vigezo vyangu lakini, ana features ninazozipenda. He is tall with six pack, charming, black, ukija kwenye motion ndo usiseme! Alitokea kunizoea nami nikamzoea tukawa marafiki saana almost 6 months now. Ananiamini sana kiasi kwamba kuna vitu ambavyo he suppose to tell his girlfriend to do ila huwaga ananiambia mimi ndo nifanye. Let say kumsaidia issue za TRA, Kulipia bill za maji na umeme, kupeleka document fulani mahali n.k.

I real like him, lakini ana tabia moja ambayo haifichi na wala haogopi kunisimulia kuhusu wasichana anaodate nao. Yan kila akitoka na msichana atanisimulia kama kumponda atamponda kama kumsifia atamsifia. Tatizo langu kwake, haipiti siku 3 bila kumuota though simuoti kwa majambozi.

Naumia tu kimoyomoyo, i wish nimwambie hisia zangu ila naogopa. Najiuliza je akikubali kuwa na mimi ataacha kweli tabia yake? Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu.

EXCLUSIVE: SIRI 5 ZA WOLPER ZAVUJA - Global Publishers

Jisomee mwenyewe!
 
wewe na wewe huna tofauti na wale wanaojiuza, unajua kabisa jamaa kiwembe then unataka kujipeleka, kuna wale wanyama wanaitwa kondoo au nyumbu wanapenda kufuata mkumbo
 
Back
Top Bottom