"Ukaguzi kwa memba wageni hapa mjengoni"

"Ukaguzi kwa memba wageni hapa mjengoni"

Aah mbona mie sikukaguliwa jaman..labda ndo maana hamni cc!
 
Last edited by a moderator:
Labda mie napitaga mlango wa uani,sijawah kaguliwa,haya mkaguzi aje

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Naomba kuuliza huku kukaguliwa ni kwa namna gani? Sehemu zipi zinakaguliwa? Ni kama airport or?

Na kwanini wa kike akaguliwe na wa kiume na kiume kukaguliwa na wa kike?
Mwongozo tafadhali

cc Filipo Mwanyasi Madame B Baba V Asprin

Hapana Chocs hukaguliwi kama eyapoti,
kwa muujibu wa katiba mama ya cc na mmu ibara ya 14 inaelekeza kuwa "ke atakaguliwa na me, halafu me atakaguliwa na ke" sheria iko wazi kabisa ndio maana nikapata msingi wa kujenga hoja!
Kwani wewe umeshakaguliwa na Filipo?
 
Last edited by a moderator:
Madame B mwanamke rijali ndio mwenye hiyo title...

Huyo alipewa jukumu likamshinda kwa sababu kuna watu alikuwa akiwakagua anataka ajimilikishe jumla, ikaleta mgogoro wa kimaslahi akapigwa chini, Mara ya mwisho jukumu hilo alipewa Lady doctor.
 
Last edited by a moderator:
Hapana Chocs hukaguliwi kama eyapoti,
kwa muujibu wa katiba mama ya cc na mmu ibara ya 14 inaelekeza kuwa "ke atakaguliwa na me, halafu me atakaguliwa na ke" sheria iko wazi kabisa ndio maana nikapata msingi wa kujenga hoja!
Kwani wewe umeshakaguliwa na Filipo?

Inawezekana hajasoma Ibara ya 14,ibara ndogo ya 3, kifungu kidogo cha 6 katika parandesi kimefafanua vizuri..
 
Last edited by a moderator:
Babu Asprin alitaka kunikagua usiku watu wakiwa wamelala,looh nkaona hapa hali si nzuri..basi mie ndukii!

Ennnh hebu ngoja nikae kitako unisimulie...alianza na stepu gani hadi ukaona hali si hali huko ukaguzini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom