Bosi wake si amnunulie na yeye chain hata ya Silver jamani??
Yani naitafuta kwenye kemera siioni sijui haters wamediliti au vipi....ahahahahahahhahah MI IMEBIDI NIMZOEE TU KIJANA wetu! af kwanini hujaweka ile picha yetu nikiwa nakukununlia mishakaki ya kuku ya darajani?
Ndo maana yake........mfumo unatolewa hapo amini hvyo
Hahaha, yeye si amevaa ushanga shingoni? Cheni anavaa boss, bado pete tu hapo
hongera !nahapo unasubiri akulipie bili pia
Kawafyata mkia ha ha ha! Haya ongeeni basiii
utawaweza hawa choka mbaya wa humu...wanazani kila mtu amefeli kama waoooh,anajipendekeza,ooh diamond hata hamjui..ooh..ohh
DOGO HATA KUSHIKA UMA NA KISU HUJUI! Si ule kwa mikono kama ulivyozoea
Dear haters ,najua ninawachukiza saaana..ila vimilieni tu coz nina mengni ya kuwafanya mzidi kuteseka roho
tena inabidi ukiwa unaona tu thread imeanzishwa na mim basi ipite tu pembeni..ya nini kujitesa roho na kuonyesha upumb.. wako kwa matusi....??????????
Kwani uongo kaka, alivyoishika tu haielekei km anaitumia. Na yes uma inashikwa mkono wa kushoto.Division five wewe...... kisa uliona kila mtu anashika uma upande wa kushoto basi ukajua kanuni au sio.wengine ni left hand. FYI
utawaweza hawa choka mbaya wa humu...wanazani kila mtu amefeli kama waoooh,anajipendekeza,ooh diamond hata hamjui..ooh..ohh
Ni upendeleo binafsi pia, sio sheria hiyo unaweza kushika kwa jinsi inavyokufaa wewe hata kama sio left handed.Division five wewe...... kisa uliona kila mtu anashika uma upande wa kushoto basi ukajua kanuni au sio.wengine ni left hand. FYI
Daktari na wewe pia umeangukia katika hili??!!! Mbona ni kawaida tu kutumia kushika uma mkono wa kulia. Of coz walioanzisha hizo manners walitumia mkono wa kushoto lakini sio lazima uwafuate mkuu!!! Inabidi ifike mahali tuwe huru kufanya vile tupendavyo, khaaa jamani imekuwa sheria au amri hiyo??Unajua hata mie nimeshangaa kidogo nikajiuliza..nikajaribu hata kujiweka kwenye hiyo picha, bado nikaona 'uma uko mkono wa kulia' na 'kisu kiko mkono wa kushoto'! Kriss-Kross ya wenzetu wa table manners... heaven on desert, ilikuwaje!?
Kwa hiyo unataka kusema kwamba hivyo vitu viko mbalimbali sana kiasi kwamba huwezi kuamua kushika uma mkono wa kulia na kisu mkono wa kushoto. Halafu waswahili mna matatizo sana, kuna sababu ule mkono ukaitwa wa kulia, unashangaza sana mkono unaitwa wa kulia halafu unashangaa mswahili akiutumia kwa kazi hiyo??!!!ni kanuni maarufu kama table manners, kwahio wewe ukienda kwenye restaurant[sio mgahawa uchwara] ukikuta vimepangwa pale utabadili???maanake visu vinawekwa kulia,uma zinawekwa kushoto,dessert/soup spoons zinawekwa juu/mbele
it doesnt matter u r left/right handed coz u have to use both hands[for holding knife and folk]!