Kigoma Yazizima kumlaki Dr Slaa

Kigoma Yazizima kumlaki Dr Slaa

taarifa hii ni ya uongo, wana jf ipuuzeni. mleta mada aweke picha kama kweli watu ni wengi,
ukweli ni kwamba watu hamna, hawafiki 200, slaa ameogopa kuja kwenye mkutano
 
Kila la heri wana kigoma, endeleeni kulisikiliza hili jembe la ukweli, unganeni na watanzania wengine katika kupata haki yenu ya kikatiba ya kupata elimu ya uraia. Redbrigade hakikisheni ulinzi na usalama unakuwepo kwa dr. Slaa na wanachadema pia.
 
lete huo ukweli unaoutaka wewe,leo wamekulipa buku saba bure tu
mnadanganyana hapa jukwaani lakini kwenye uhalisia chadema imejifia, imechokwa. slaa analindwa na polisi kuliko hata kikwete anavyolindwa, hatakiwi tena na wananchi. akionekana wanakula kichwa.
 
Kili kitu kimeishaandaliwa...teh teh teh.. mpaka picha.
 
taarifa hii ni ya uongo, wana jf ipuuzeni. mleta mada aweke picha kama kweli watu ni wengi,
ukweli ni kwamba watu hamna, hawafiki 200, slaa ameogopa kuja kwenye mkutano

Weka picha taarifa yako
 
Kuna mtu anaitwa Taswira amekuja na story kenge kabisaa..weka picha tumchape!

Hana uwezo wa picha za ukweli hata hii alisema ni kijijini Nyarubanda Kgm Kaskazini kumbe ni Kasulu Mjini nimekubali propaganda ndiyo nguzo kuu katika siasa. Sioni tofauti ya CHADEMA na CCM wala cha NCCR na CUF bora ya soka la kibongo mnagongwa wote ninaona.
View attachment 126055
c u when u c me!
 
taarifa hii ni ya uongo, wana jf ipuuzeni. mleta mada aweke picha kama kweli watu ni wengi,
ukweli ni kwamba watu hamna, hawafiki 200, slaa ameogopa kuja kwenye mkutano

Kama ni ya Uongo mbona wewe hujaweka picha ya ku-backup statement yako.Wewe ndio wa kupuuza
 
taarifa hii ni ya uongo, wana jf ipuuzeni. mleta mada aweke picha kama kweli watu ni wengi,
ukweli ni kwamba watu hamna, hawafiki 200, slaa ameogopa kuja kwenye mkutano

Tunashukuru kwa taarifa yako ya ukweli mkuu tamuchungu.... Tunaomba utuwekee picha ya hao watu wasiofika hata 200 plz fanya hima mkuu
 
Last edited by a moderator:
waha ni wazuri ila zitto ni mbaya....is it? machadema mna matope kweli. do you think tanzanian are lazy in thinking as you are?
 
taarifa hii ni ya uongo, wana jf ipuuzeni. mleta mada aweke picha kama kweli watu ni wengi,
ukweli ni kwamba watu hamna, hawafiki 200, slaa ameogopa kuja kwenye mkutano
kwa hiyo unataka kusema dr. Slaa hatakuja? Kwa nini wewe usiweke picha?
 
taarifa hii ni ya uongo, wana jf ipuuzeni. mleta mada aweke picha kama kweli watu ni wengi,
ukweli ni kwamba watu hamna, hawafiki 200, slaa ameogopa kuja kwenye mkutano

Habari ikiletwa na molemo,au Tumaini makene unategemea itakuwa na usawa?
 
Hana uwezo wa picha za ukweli hata hii alisema ni kijijini Nyarubanda Kgm Kaskazini kumbe ni Kasulu Mjini nimekubali propaganda ndiyo nguzo kuu katika siasa. Sioni tofauti ya CHADEMA na CCM wala cha NCCR na CUF bora ya soka la kibongo mnagongwa wote ninaona.
View attachment 126055
c u when u c me!

aknowledge source na mwaka plz
 
Back
Top Bottom