Utakuwa una uchafu mwingi kwenye utumbo wako. Vipi kinyesi nacho kinatoa harifu sana?. Nakumbuka nilishawahi kuhudhuria semina moja iliyoongozwa na Peak Performance mwishoni mwa 2010, mojawapo ya vitu tulivyofundishwa ilikuwa ni kula vyakula vinavyofaa na kutunza miili yetu. Hili lilizungumziwa pia kuwa tunapokula vyakula huwa kuna mabaki yanayobakia kwenye kuta za utumbo na kufanya layers. Sasa zile layers hutakiwa kuondolewa la sivyo ndo utaexperience hayo. Njia kuu tuliyofundishwa kama sijasahau ni kuwa unatakiwa kunywa glasi ya juice ya carrot (Yaani tengeneza carrot - ikiwezekana weka maji kidogo saaaana but carrots ziwe nyingi) kasha kunywa glasi moja usiku wakati wa kulala. Asubuhi unawezapata choo kingi chenye harufu mbaaaya - utumbo unasafishika. Unatakiwa kuendelea mpaka utakapoona umeanza kupata choo kisicho na harufu kali then watch your diet