Recent content by Bi. Senti 50

  1. Bi. Senti 50

    JamiiForums Tanzania Rest In Peace Mr Baguma of JB Belmont

    Yaani we acha tu! This Man was a gentleman, ninamfahamu kwa karibu sana na ninasikitika watu wakileta maneno maneno. Ameshafariki na hawezi kujibu mwenyewe lakini tunao mjua he had nothing na HR manager au mfanyakazi yeyote pale, what he did aliwapa uhuru ma managers wake wajiendeshe na hii ndio...
  2. Bi. Senti 50

    JamiiForums Tanzania Rest In Peace Mr Baguma of JB Belmont

    Mzee Baguma mwenye hizi hotel za JB Belmont Dar (Benjamin Mkapa Tower) posta mpya na ya Mwanza ametutoka ghafla hivi karibuni. Tupo kwenye mshtuko mkubwa. Amefariki kwa matatizo ya kupumua chumbani kwake Hotelini Dar.
  3. Bi. Senti 50

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Kikwete Live @ Clouds FM use Google Chrome not Internet Explorer
  4. Bi. Senti 50

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Watch free on line on Watch Live Barcelona vs Chelsea Enjoy
  5. Bi. Senti 50

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanajichongea?

    Mmmh...... "Kwa msaada wa watu wa Marekani" teh teh!!
  6. Bi. Senti 50

    JamiiForums Tanzania TANZIA Wakili mtetezi wa ICTR Prof. Jwani Mwaikusa auawa Tanzania

    RIP Prof. J Mwaikusa, Inasikitisha sana kusikia mtu ametolewa uhai wake just like that! Poleni wafiwa Mkj nafikiri huyo lawyer ni somebody Kapinga kama sikosei.
  7. Bi. Senti 50

    JamiiForums Tanzania **~** penzi la clara **~**

    Mwanakijiji upo Jimboni nini unaweka mambo sawa?? Tuendelezee hii hadith basi maana utakuwa hujatututendea haki. Kama mambo yenyewe ndio hivi na kura yangu hupati. Mtu tunasikilizia mpaka ............ zinaisha kha!
  8. Bi. Senti 50

    JamiiForums Tanzania Kallaghe kwenda UK Mlima kwenda Canada?

    Nimekuaminia Mwanakijiji, kainzi hakachezi mbali JK ateua mabalozi saba kushika nafasi mbalimbali Rais Jakaya Kikwete ameteuwa mabalozi saba kushika nafasi mbalimbali katika balozi zetu nchini Sweden, Canada, Ehiopia, Paris-Ufaransa na Balozi wa Kudumu Kwenye Umoja wa Mataifa. Katika uteuzi...
  9. Bi. Senti 50

    JamiiForums Tanzania WAZO LA JUMAPILI: Consultant wa kutafutia mchumba!

    Hii dunia ya sasa hakuna waowaji / waolewaji watu tunakwenda tu mzobe mzobe. Mwanamme akisema achukue mwanamke wa kijijini, basi huyo mwanamke mpe miezi kadhaa maana akikaa mjini kidogo anakuwa mtoto wa mjini kuliko wale ambao wameishi hapo. Hakuna siku hizi mtoto wa kanisani au msikitini...
  10. Bi. Senti 50

    JamiiForums Tanzania Kuacha na kuachwa

    Samahani kama nimekukwaza.
  11. Bi. Senti 50

    JamiiForums Tanzania Kuacha na kuachwa

    pole!!!!!!!!
  12. Bi. Senti 50

    JamiiForums Tanzania ~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

    Hadithi inaendelea kunoga, ahsante sana Mwanakijiji lakini chonde chonde isiishie hapo tafadhali. Pia hadithi hii inatufundisha maisha halisi ya kwenye ndoa, usione watu wanacheka mitaani lakini wakiingia majumbani moto unawaka. Ndio maana nyumba zinajengwa na mapaa, madirisha na milango kwa...
  13. Bi. Senti 50

    JamiiForums Tanzania ~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

    Mwanakijiji, Kulikoni????????????????
  14. Bi. Senti 50

    JamiiForums Tanzania Msiba

    Pole sana kwa msiba, mwenyezi mungu akupe wewe na familia yako nguvu na amani katika wakati huu mgumu wa msiba. Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe - AMINA
  15. Bi. Senti 50

    JamiiForums Tanzania ~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

    Mwanakijiji hongera!!! Hii hadithi ni tamu. Yaani umenichota akili mpaka siku ya leo mawazoni kwangu nafikiri ni Ijumaa kuumbe ni J'tano Loooooooooooooh! Haya itaendelea lini? Maana I can't wait huo mlipuko watakapo kutana siku ya Jumamosi. Ningejua wanaenda kukutana wapi I don't mind kwenda...
Back
Top Bottom