Recent content by bhuchukundi

  1. B

    Inawezekana kusoma sekondari bila kumaliza darasa la saba?

    Sikuwahi kuiona wala kuisikia before, nadhani imeanza mwaka huu
  2. B

    Inawezekana kusoma sekondari bila kumaliza darasa la saba?

    Kwenye usajili wa watihiniwa kidato cha pili mwaka huu 2018 wanataka na namba ya mtihani ya darasa la saba soo be careful!
  3. B

    Uliambiwa nini ukiwa Mtoto lakini baada ya kukua ukagundua ni Uongo?

    Nilidanganywa eti ukinyoshea kidole upinde wa mvua unakumeza, ukilala chali wakati inanyesha mvua ya radi inakupasua tumbo
  4. B

    Simu yangu, kazi yangu vitaiharibu ndoa yangu

    Punguza mda kwenye matumizi ya simu uuongeze kwa mkeo, ila mda wa kazi ubaki constant
  5. B

    Njia rahisi ya kunikataa kimapenzi ambayo kwanzia hapo sitokusumbua. Kwa mimi mwanaume Bukta hii ni nzuri

    Mkuu mbona umeandika uzi wangu?? Hili tatizo nakutana nalo mara nyingi sana!! Tutafute solution mkuu
  6. B

    Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    MSAADA: hii ni lugha gani?
  7. B

    Inashangaza sana mtu analipa hela kuangalia mpira kwenye TV huku bado anasikiliza kwenye redio

    Wanamsikiliza mchambuzi mahili kwa Sasa Mwalim Kashasha
  8. B

    Kafulila Asipotoshe Umma

    Kwaiyo unashauri wapinzani waachane na mijadara ya ufisadi kwakuwa kuna mafisadi hawakuwajibika?? Waiwajibishe serikali kwenye mambo gani?
  9. B

    Kafulila Asipotoshe Umma

    Kwani serikali haipaswi kuwajibika unapotokea ufisadi? Mbona akina Mlongo waliachia ngazi baada ya escrow, sio kuwajibika huko? Naomba nieleweshwe maana ya neno 'kuwajibika'
  10. B

    Jinsi ya kuandika namba katika hali ya sehemu (eg: 2⅓ + 3¾) bila kutumia app

    ½+⅝+¾+⅔+⅝+6+⅞+8+9ⁿ mbona zingine hazina fraction?? Mfano 2, 6, 8 na 9
  11. B

    Ma bachelor huku kunuka jasho ni sifa au?

    Matangazo ya pafyumu!!
  12. B

    Kumbe Magereza wanawapigia salute JWTZ?

    Kambi ya jeshi ni sehemu nyeti, watajuaje kama wewe sio mamluki unayejifanya umeharibikiwa gari ili uuze ramani?? Kanuni yao ni kutilia shaka kila usiyemjua! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom