Ma bachelor huku kunuka jasho ni sifa au?

Hivi mkaka wewe uko single huu si ndio muda wa kujipenda na kupendeka? Imekua unamtoa a lady kwa mtoko wa chakula cha jioni, ile mmekutana tu casual hug ma ma mama we, akiinua kwapa hilo jasho utafikiri mchanganyiko wa harufu wa nyoka aliejivua gamba na panya aliyekufa.

Sasa kama kitu kama View attachment 606404
hiki kinakushinda ukiwa single ukishaoa utavimudu kweli? Msipopigiwa simu kesho yake mnadai mwanamke anatamaa napenda wanaume wenye pesa. Kwakweli hatukimbii hali ya maisha ila kuna wakati tunakimbia harufu ya jasho.
Hivi bachelor is used only for boys?? Na nyie vipi?? Hamnuki nanilii??? Mkiolewa mnamudu??
 
Attachments

  • 2017-10-10 21.00.36.jpg
    2017-10-10 21.00.36.jpg
    44 KB · Views: 37
mkuu sky eclat umekuwa mkali kweli kweli huyo wako nahisi chamoto kakipata,,ila asante kwa suluhisho pia!
 
Ila wajameni usiombe ukutane na kwapa linalotema halafu mbaya zaidi unapata ni jeusiiii kama uchafu wa vocha...
Na hapo iwe ni kwenye daladala mikono juu mwendo wa mateka, nje mvua inanyesha watu wamefunga vioo...
 
Hivi mkaka wewe uko single huu si ndio muda wa kujipenda na kupendeka? Imekua unamtoa a lady kwa mtoko wa chakula cha jioni, ile mmekutana tu casual hug ma ma mama we, akiinua kwapa hilo jasho utafikiri mchanganyiko wa harufu wa nyoka aliejivua gamba na panya aliyekufa.

Sasa kama kitu kama View attachment 606404
hiki kinakushinda ukiwa single ukishaoa utavimudu kweli? Msipopigiwa simu kesho yake mnadai mwanamke anatamaa napenda wanaume wenye pesa. Kwakweli hatukimbii hali ya maisha ila kuna wakati tunakimbia harufu ya jasho.
Kuna Mademu wananuka Kwapa pia hata sisi tunakutana nao so Ndimu zipo wajisafishe Pia
 
Hivi mkaka wewe uko single huu si ndio muda wa kujipenda na kupendeka? Imekua unamtoa a lady kwa mtoko wa chakula cha jioni, ile mmekutana tu casual hug ma ma mama we, akiinua kwapa hilo jasho utafikiri mchanganyiko wa harufu wa nyoka aliejivua gamba na panya aliyekufa.

Sasa kama kitu kama View attachment 606404
hiki kinakushinda ukiwa single ukishaoa utavimudu kweli? Msipopigiwa simu kesho yake mnadai mwanamke anatamaa napenda wanaume wenye pesa. Kwakweli hatukimbii hali ya maisha ila kuna wakati tunakimbia harufu ya jasho.
Hahaaa umekutana na harufu ya beberu
 
Pia kuna wanawake wanuka vikwapa ..nimeshakumbana nao sanaa kwenye usafiri wetu wa umma...hadi unataka kushuka kituo ambacho sicho ili kuepuka tu harufu, unakuta ndo amekuegemea ..duh
 
Back
Top Bottom