Recent content by baunsamuoga

  1. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hii ndoto

    Ndoto imejigawa sehemu mbili kiimani, sehemu ya kwanza ni kwamba ukiona unakumbuka matukio yote ya ndoto yako, ujue hiyo ilikuwa ndoto ktk mfumo wa kuchoka ubongo na hisia, yaani hiyo ni ndoto kama ndoto haina maana yoyote. Lkn sehemu ya pili imejikita kwenye usahaulifu, yaan ukiota ndoto mara...
  2. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania Mke wangu, Nimekuchoka!

    Shukuru Sana kama watoto ni wako kweli,, lkn ikiwezekana Meza P2 mkuu 😂
  3. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli serikali haioni huu ukwepaji kodi wa wafanyabiashara? Usalama wa Taifa wako wapi?

    Mkuu amini kwamba hata wew ni mwizi,, unapo weka pesa ndani au mfukoni Bila matumizi Nani akulipie kodi? Najua hakuna uhusiano lkn ndio wizi huo, shida ni kwamba wezi wanalaumiana kwa mbinu za wizi mkuuu
  4. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania Ivi wanaume usipo fanya mapenzi muda unajihisi una energy kubwa au spirit yako ipo juu?

    Mkuu inawezekana ikawa kweli lkn usipokuwa makini zikizidi zikashindwa sehemu ya kutokea basi zita Anza kutafuta njia kwenye kijambio hatimae ni gudu bay,,,,, beta tu wochi yua baki 😂
  5. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania 50m mtaji kwenda china au nifungue biashara Gani dar au mkoa wowote?

    Nilikuwa na 80M mpaka muda huu sijui ipo wapi! Anyway tuyaache
  6. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania Je Ni kweli Wanaume au Wanawake watu wazima wenye vidonda/vipele kwenye Miguu au mikono kuwa % kubwa yao wameathirika na HIV?.

    Ni swala la kumwagia mafuta mengi na kupaka mafuta mengi utelezi utakuja baadae, maana Tanzania ni Nchi ya ngapi kwa maambukizi kwa mujibu wa wa tafiti wa macho? Anyway kazi na utu.
  7. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania Nina mapenzi makubwa kuishi Kisiwa cha Mafia, msaada wa taarifa tafadhali

    Jipange Sana kwa maisha ya Mafia, umwinyi mwingi, ushirikina kawaida, kama ni mtu wa mademu Sana mabint wa watu ukimla kwa kudanganya jiandae, mzee wangu wew ni mtu wa bata kule wake za watu waone kama kuchambia vifupa,, misimamo ya kidini inazingatiwa, kila la kheri mkuuu ni sehemu Safi na...
  8. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania Mpangaji mpya

    Ni swala la kuliwa mpishi na chakula chake, nenda kampikie maana ungeskia ni shoga ungemtangaza, kampe pepeteo Hilo acha woga bibieeee
  9. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

    Tukiachana na arakati au elimu nafsi, akili na hisia,, mwanaume huwa anafanya maamuzi baada ya hisia kuamua na sio hasira kuamua, kwahyo kuna nafasi ndogo yakupata mchakato wa kutafakari maamuzi baada ya matokeo, na hii ni kwakuwa ubongo wa mwanaume umejaa heka heka nyingi ni kama chupa ya...
  10. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

    Yu bera wochi yua baki 😂
  11. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mwalimu agomea kuhama, vitu vyake vyatolewa nje Siha

    Hao kwa viboko ni hatari!
  12. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza kaamua kuniblock WhatsApp

    Kumbe bado Kuna watu wanatongoza? Sawa mkuu
  13. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wajinga sana.

    Sawa mkuu
  14. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania Raha ya mwanamke mwembaba kwenye mapenzi

    Vitu vyangu hivyo, vichupi malingo hapo mimi roho yangu nyeupe kabisaaaa Yan
Back
Top Bottom