Halafu anakataa anafikiri tumesahau.Huyu Gilbert A Massawe ndiye alimlisha sumu Thadei Ole Mushi.
Halafu anakataa anafikiri tumesahau.Huyu Gilbert A Massawe ndiye alimlisha sumu Thadei Ole Mushi.
"Nkuku" sio "kuku"Ndio ajiite 'kuku'?😀
Huyu na kale kadubwana ka Kisarawe ni wauaji wakubwa.Halafu anakataa anafikiri tumesahau.
Mtapewa mabaki ya keki, acheni haraka.Wa cuba nimeelewa ila vipi cake ya taifa mnataka muile wenyewe?. Tukitakka tupaate cake na sisi mnatuita majina mabaya na mikono yetu mnaichafua kwa mchanga ili tuwe wachafu mbele ya umati tusile, sio sawa kabisa.
Siku yao inakuja wasifikiri mambo yataenda hivi hivi siku zote.Huyu na kale kadubwana ka Kisarawe ni wauaji wakubwa.
John HecheSi umtaje unazunguka zunguka nini
Ndo mnavyojidanganya?eti dereva hana cha kupoteza?!!Dereva hana cha kupoteza.
nyie abira nyie muwe makini shikeni mchuma mtaacha majonzi kwa Familia.
Attempt ile ni Kadi ya njano wakitoa nyekundu mhhh
Ref: Slow slowy
Mafumbo mengine sana mzee, wasanueni watesi wa tanganyika (govt) kuwa sisi wanachi Tunasapoti waliokinyume na selikali batili na katili. Acha uchumi uyumbe wameshindwa kuulinda kwa misingi thabiti. Wakiuwa mmoja wanatengeneza engine miamoja.Mbona unaweka wingi mzee?
Una ishu inakusumbua kaka
mijadala ujenga acha kukimbilia tuhuma feki mara ole mushi nk
msanueni mwana line nyekundu sio.
Uchumi ukianguka, Utalii kwa ndimi za watu 10 kati ya maisha ya watu 70M sio jambo zuri.
Sio kila Barua utaandika ikawa na faid kwako.
Victor sempere.
Ujinga wao umeanza kuwaogopesha wao wenyewe.hahaha useme na kutangaza wewe kuna magaidi
ila hutaki tena dunia iambiwe kuna magaidi msije huku kwa kisingizio cha kuharibu biashara na utalii
kwani unapo sema ww na wenzako kuna ugaidi na magaidi hujui kuna utalii na biashara
We jamaa huna akili...Wakati watu wanauwawa ulikua wap?
arifu?
Mjifunze mambo kuna line ukivuka awaangalii mrma yako 30.
Baya moja tu linafuta mema 29.
siandiki kwa kufurahisha watu wala mkwara .
Wenye uelewa wa mbali wamesoma mistake inayofanywa watashauri.
Nakumbuka stori moja ya Mpambano wa Vita ya Utalii kati ya Kenya na Tanzania ( Inasadikika Lamu wapo bize kuwatumia makanja kuhakikisha mtalii afiki Serengeti haha ila battle imeridu Kwao wanaliaa...
Oh! Sawa"Nkuku" sio "kuku"
Kila Jambo lina Mipaka yake Ndg Wanajamvi.
Siku Za Karibu Kumekua na Mwanasiasa alisahau kipimo cha Uhuru na kila Kauli hakikisha uhujumu msalahi ya Nchi.
Kama kweli unawapigania Watanzania usifanye mambo ukidhani unamkomoa Rais, Waziri kumbe unaangamiza Utalii, Biashara za watanzania wenzako
Wanasiasa, Viongozi wa Dini, Wanaharakati muonyeni sana huyo Kijana.
Uzuri Chepeo likitoka alirudi bure laazima uchimbiwe.
CC domo kali.
Ref: Slow slow.
Msitishe watu , huu ujinga ujinga ipo siku kitaumana na mtashangaaKila Jambo lina Mipaka yake Ndg Wanajamvi.
Siku Za Karibu Kumekua na Mwanasiasa alisahau kipimo cha Uhuru na kila Kauli hakikisha uhujumu msalahi ya Nchi.
Kama kweli unawapigania Watanzania usifanye mambo ukidhani unamkomoa Rais, Waziri kumbe unaangamiza Utalii, Biashara za watanzania wenzako
Wanasiasa, Viongozi wa Dini, Wanaharakati muonyeni sana huyo Kijana.
Uzuri Chepeo likitoka alirudi bure laazima uchimbiwe.
CC domo kali.
Ref: Slow slow.
Mijitu mipuuzi kama nini...Halafu likimpata kama la yule mrusha ngumi utamsikia Mama yake anaanza kulialia.
Unaongelea maslahi gani huku wanufaika wakiuwawa?...Kila Jambo lina Mipaka yake Ndg Wanajamvi.
Siku Za Karibu Kumekua na Mwanasiasa alisahau kipimo cha Uhuru na kila Kauli hakikisha uhujumu msalahi ya Nchi.
Kama kweli unawapigania Watanzania usifanye mambo ukidhani unamkomoa Rais, Waziri kumbe unaangamiza Utalii, Biashara za watanzania wenzako
Wanasiasa, Viongozi wa Dini, Wanaharakati muonyeni sana huyo Kijana.
Uzuri Chepeo likitoka alirudi bure laazima uchimbiwe.
CC domo kali.
Ref: Slow slow.
Wacha porojo mdogo wangu.Huyu na kale kadubwana ka Kisarawe ni wauaji wakubwa.
Unadhani Watakubali Uyumbe?Mafumbo mengine sana mzee, wasanueni watesi wa tanganyika (govt) kuwa sisi wanachi Tunasapoti waliokinyume na selikali batili na katili. Acha uchumi uyumbe wameshindwa kuulinda kwa misingi thabiti. Wakiuwa mmoja wanatengeneza engine miamoja.