Natamani nihasiwe, nipoteze nguvu za kiume

Natamani nihasiwe, nipoteze nguvu za kiume

Umefikiria kwanza usije kusema binadamu wabaya
 
Attachments

  • downloadfile-15.jpg
    downloadfile-15.jpg
    60.3 KB · Views: 5
Kwani wazazi wako ulivowashirikisha wamesemaje
 
Ninachukia sana nataman tu nihasiwe nipoteze nguvu za kiume.nisiwe na hisia za mapenz niwe hakuna.
Acha Utani Wewe
Yaani Utamu Usipoupata Maana Yake Nini ?
Dady Wambi Koki
 
Huyu naye ashaleft the group mapema sana

Anyway tuliobaki naomba tuendelee kubandua kunusuru visilani vya wanawake na Mungu atupe pesa za kutosha
 
Ninachukia sana nataman tu nihasiwe nipoteze nguvu za kiume.nisiwe na hisia za mapenz niwe hakuna.
Unahitaji msaada wa kisheria ili usije fungwa jela allooo......🤔
 
Back
Top Bottom