Kibri Kitaangamiza Marekani na Israel

Kibri Kitaangamiza Marekani na Israel

Ukisimama ktk hisia za kidini lazima kuwe na mihemko isiyo kuwa na Hoja za msingi, ni kweli inawezekana hivyo lkn sio kwa misingi ya kuaminisha wengine kwa minajiri Ya udini, mawazo yako tumeyapokea Imani yako baki nayo!
 
Baunsamuoga,
Fikra zako ndizo zinakupeleka kwenye udini kwa ajili ya hofu uliyojazwa na propaganda.

Hofu yako inasababishwa kwa wewe kunyimwa historia ya kweli ya Tanganyika.

Nakuwekea picha hapo chini zitazame na iulize nafsi yako kwa nini historia hii imefutwa?

Nani kaifuta?

Laiti ingekuwapo nchi ingevuna na kujifunza nini?:

1782913015088.png
1782913067400.png
1782913099234.png
1782913122293.png

Picha ya chini yake inamuonyesha Mswahili Mzee Mshume Kiyate akimvisha kitambi kumfariji Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baada ya kurejea madarakani kufuatia maasi ya Tanganyika Rifles mwaka wa 1964.

Picha inayofuatia inamuonyesha tena kulia Mswahili Mzee Mshume Kiyate kamshika mkono Julius Nyerere, pembeni ya Nyerere ni Waswahili Wazaramo Makisi Mbwana na Mzee Mwinjuma Mwinyikambi.

Hii ilikuwa mwaka wa 1962 siku ya kupiga kura ya Rais nafasi iliyokuwa ikigombewa na Julius Nyerere (TANU) na Mswahili Mluguru Zuberi Mtemvu (Congress).

Picha inayofuatia ni safari ya kwanza ya Mwalimu Nyerere UNO mwaka wa 1955 kulia ni Mswahili Msukuma Bi. Chiku bint Said Kisusa, Mswahili Mndengereko Bibi Titi Mohamed, Bi. Mwamvita Mwinyamani, Julius Nyerere, Mswahili Mchagga Lucy Lameck na Bi. Tatu bint Mzee.

Picha ya mwisho nimeipa jina ''Wamanyema Wanne na Mzanaki Mmoja.''

Ningeweza kuipa jina:

''Waswahili Wamanyema Wanne na Mzanaki Mmoja'' lakini itakuwa sijamtendea haki Mwalimu Nyerere kwa sababu yeye akijinasibu sana na Uswahili kufikia hadi kutunga mashairi na kuvaa kofia ya mkono.

Picha hii ilipigwa 1956 Dodoma Train Station: Kulia ni Haruna Iddi Taratibu, Saadan Abdu Kandoro, Julius Nyerere, Sheikh Mohamed Ramia na Iddi Faiz Mafungo.

Hawa Waswahili kuwaeleza historia zao inahitaji kitabu kizima.

Katika picha hizi kuna Mswahili Mdigo Dossa Aziz, Mswahili Mrufiji, Said Chamwenyewe, Sheikh Issa Nasir, Mshume Kiyate, Mswahili Mmashomvi Jumbe Tambaza, Mswahili Mzanzibari Sheikh Suleiman Takadir, Mswahili Mmanyema Mweka Hazina wa kwanza wa TANU na Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika Iddi Faiz Mafungo mkusanya fedha na mratibu wa safari ya Nyerere UNO 1955, Mswahili Msukuma Bi. Chiku mke wa Mswahili Mwarabu Shariff Abdallah Omar Attas aliyewaleta wanawake katika TANU, kwa kuwataja wachache na machache yao.

Waswahili hawa watu waungwana kwa tabia na hulka kwa kila hali.
 
Attachments

  • 1782913048702.png
    1782913048702.png
    424 KB · Views: 5
Nukta,
Mwaka wa 2012 Waislamu waliandamana kwa madai kuwa Baraza la Mitihani linahujumu wanafunzi Waislamu ikidaiwa kuwa Baraza limejazana waumini wa imani moja.
Nalikumbuka hilo sakata mzee wangu nilikuwa mtu mzima tayari tena muajiriwa katika taasisi fulani ambayo ilijihusisha moja kwa moja na hilo sakata.

Waislamu (baadhi) wenye misimamo mikali na wafia dini ikiwemo wewe sijui huwa mnakutwa na kitu gani ilihali mna ufahamu mpana na mkubwa kuliko hata sisi tulio wengi.
 
Nakta,
Nimekuandikia kwa heshima na adabu.

Unaniita ''mfia dini."
Unanikejeli.
 
Nakta,
Nimekuandikia kwa heshima na adabu.

Unaniita ''mfia dini."
Unanikejeli.
Sikukejeli Mzee Mohamed, ni ukweli mtupu.

Sasa nakupa andiko fikirishi hujawahi andika makala yoyote kuhusu Myanmar wakati wa ndugu zenu katika imani wa Rohingya wanafanywa vibaya hata kutoa laana tu kama mlivyozoea.

Hujawahi andika lolote linaloendelea Congo mashariki Watu wanakufa kila uchwao wala kuwapa laana wanaowaua majirani zetu tu pale hamuwapi.

Mko biased na Saudia, Palestina na Iran Syria iliwashinda
 
Hao Iran tu hawana msaada wowote ule kwa Jamhuri ya Tanzania yani hata theluthi ya kinachofanywa na Mataifa ya Kikristo hapa kwetu wao hawafanyi

Wao waje wajenge misikiti ya mashia mtuvalie maguo meusi mtutishe basi

Barabara ajenge mmarekani, matibabu atoe mmarekani, shule afanye mchina wao kazi yao nini
 
Sikukejeli Mzee Mohamed, ni ukweli mtupu.

Sasa nakupa andiko fikirishi hujawahi andika makala yoyote kuhusu Myanmar wakati wa ndugu zenu katika imani wa Rohingya wanafanywa vibaya hata kutoa laana tu kama mlivyozoea.

Hujawahi andika lolote linaloendelea Congo mashariki Watu wanakufa kila uchwao wala kuwapa laana wanaowaua majirani zetu tu pale hamuwapi.

Mko biased na Saudia, Palestina na Iran Syria iliwashinda
Nakfa,
Unazungumza kuhusu uandishi wangu lakini unataka niandike utakayo wewe.

Umekuwa kimya kwa hofu niliyokuambia unayo na nimekuwekea picha za Nyerere na wazee wangu.

Huna la kusema.
Nimeelewa.

Nimeandika mengi:
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

Sal Davis, An Autobiography, Readit/Amazon, 2023, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA

Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
1782915686181.png
1782915746233.png

1782915791797.png
1782916143526.png
1782917217440.png
 
Attachments

  • 1782915873448.png
    1782915873448.png
    1.1 MB · Views: 6
KIBRI KITAANGAMIZA MAREKANI NA ISRAEL

Tatizo kubwa la Marekani ni kibri.

Hiki kibri kimewaelemea kiasi hawawezi kuwaza kama binadamu mwenye uwezo uliokuwa na kikomo.

Hata hapa walipofikishwa kutafuta amani kwa mazungumzo na diplomasia bado hawajatambua kuwa wao si washindi.

Halikadhalika hawajatambua kuwa Wairani ndiyo washindi.

Israel ipo katika hali ngumu kwani wao hawamo katika mchezo.

Mazungumzo ni kati ya wakubwa wawili na wao hawana hata moja katika hayo mazungumzo.

Ujumbe unarejea Washington kichwa chini hakuna cha kuonyesha na hali ni mbaya na inaendelea kudidimia kila kukicha.

Hormuz bado.

Iran imejitolea nafsi yake hadi ushindi wake na heshima yake isimame.

Uislamu upate heshima yake na ulimwengu ujue kuwa Marekani hana nguvu hizo dunia ilidhani wanazo.

Marekani ni nyati aliyeingia ndani ya duka la vyombo vya udongo.

Sasa anavunja sahani na vikombe ovyo.

Ile "long haul strategy" dhidi ya Israel bado ipo.

Iran inajua fika na Marekani inajua pia kuwa vita virefu Israel haiviwezi.

In Shaa Allah tusubiri tuone Capitol Hill itakuja na lipi jipya?
Ndugu katika imani
 
Nakuelewa sana baba yangu ww cha kwanza dini.. mafundisho ya sheikh ilunga yalikuingia vyema
Inside 10,
Hapana sikusoma kwa Sheikh Ilunga.
Angalia hapo chini utaona tofauti zetu:

Huwa mnanifurahisha sana.

Nimekutana na jamaa kwenye ndege ananiuliza natoka wapi nikamwambia nilikuwa United States kwenye mkutano.

Akaniuliza mkutano wa dini?
Nikamjibu kuwa sina elimu hiyo kuweza kualikwa mahali.

Nikamwambia nilialikwa Chuo Kikuu Cha Iowa.
Nikamuona kashtuka, ''University of Iowa?''

Nikamuongezea kuwa nilialikwa pia Northwestern University kuzungumza.
Jamaa akawa kapooza sana.

Hii ndiyo elimu niliyjaaliwa.

Back
Top Bottom