shilaa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2026
- 415
- 805
ni kama mimi wanawake weusi nawapenda aiseee!Mm napenda mwanamke mweusi.
ni kama mimi wanawake weusi nawapenda aiseee!Mm napenda mwanamke mweusi.
Inspector Haroun sio! 😀Mtoto colored ,bambadi uso soft usio chunusi ,natural color chotara mng'avu ng'avu maji ya kunde kaende hewani sekunde ,kwao Obay oysterbay masaki binti huyo mtanashati.
Rangi ya mtume inajibeba yenyewee, haihitaji support.Rangi ya mtume inapendwa bila traco 😹
Siyo kweli bhana,Wanaume wengi wanapenda wanawake weupe.wengi wanasema uweupe unavutia.ila uweusi unaogofya sana wengi wanausema uweusi unaharibu kizazi
Ewaaaahh 😹😹Rangi ya mtume inajibeba yenyewee, haihitaji support.
😂😂😂
Mnajidanganya sana, wanawake bwana!Rangi ya mtume inapendwa bila traco 😹
Wake zenu hata wakijikoboa na makemikali hamuwezi kusema.Kama mke wangu alivyomweupe wahalisi sio wakujichibua.
Si ndio.Ewaaaahh 😹😹
Kwani uongo?Mnajidanganya sana, wanawake bwana!
Hakuna mwanamke asiyeiepaka mafuta ya kujing'arisha hata akiwa mweusi au mweupe...Huwa hawaridhiki kwa jinsi walivyo ,mweusi atataka awe mng'avung'ave light skin ,maji ya kunde atataka zwe mweupe na mweupe atataka awe mweupe peee , na mweupe pee anataka awe kama mzungu.Wake zenu hata wakijikoboa na makemikali hamuwezi kusema.