Ila wanawake wa Dar ni kiboko

Ila wanawake wa Dar ni kiboko

DSM biashara matangazo, ni wewe na pesa yako tu. Ila mkuu daladala sio issue wala Nini. You have to level up
 
Bus si sana, ila treni zinajaza.
Nafikiri kwa sababu treni zinakuwa designed mahususi kujaza watu tena wakiwa wamesimama tofauti na dalaladala. Lakini pia serikali ya US inalaumiwa sana imetelekeza kushugulikia kuboresha miondombinu ya umma ya treni kwa muda mrefu kama reli ya mwendokasi ya California iliyokuwa inajengwa kwa kusuasua iliyopigwa chini na Trump.
 
Mkuu,

Majiji makubwa watu wanabanana kwenye usafiri wa umma kote kuanzia Tokyo, London, mpaka New York.

Serikali yetu imefulia kweli, lakini hili ni suala lipo dunia nzima kwenye majini makubwa labda wewe hujatembea tu.
Kumbe...
 
Back
Top Bottom