Iran wameapa kummaliza Trump

Iran wameapa kummaliza Trump

Hizo ni ndoto tu.
Wakifanikiwa kumuuwa Trump akiwa madarakani huo ndiyo utakuwa mwisho wa taifa linaloitwa Iran.
Ardhi yao itageuka kuwa jangwa lisloweza kuishi viumbe hai.
 
Baadhi ya maafisa wa Marekani wanahisi kuwa ripoti hiyo ya Israel inaweza kuwa mkakati wa kushawishi maamuzi ya Trump, wakati huu anapotafakari uwezekano wa kuongeza mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran.
Mossad wapishi wa uongo wapo kazini tena ..
 
Ipo wazi hata kwenye maisha ya kawaida kwenye jamiii mtu anaye kuwa anasimamia haki huchukiwa na wanyonyaji na machawa! Lakini si kila mtu anajua maana ya Irani ni onyo Kwa matamshi na sio uandishi ambao ni kuakisi Jina.
 
Hizo ni ndoto tu.
Wakifanikiwa kumuuwa Trump akiwa madarakani huo ndiyo utakuwa mwisho wa taifa linaloitwa Iran.
Ardhi yao itageuka kuwa jangwa lisloweza kuishi viumbe hai.
Ingawa ni uzushi wa mossad ila kwanini iwe haki US kuua viongozi wa nchi zingine ila wao hairuhusiwi? Kwamba wao ndio wana haki ya kuishi kuliko wa Iran?
 

Bring it on’: Iran pounds several regional US military sites after renewed American assaults​

Sunday, 12 July 2026 3:27 AM [ Last Update: Sunday, 12 July 2026 6:33 AM ]
 
Screenshot_20260713-000008~2.jpg
 
Kama nanyinyi mkafunga kabisa Novena lkn wapi 👈

kipenzi chetu tunacho tunatamba nae kwa jeuri zote!!

MUNGU wenu katumia VAR kagundua nyinyi ni chuki na PEPO chafu linawasumbua🤠🤠🤠🤠
Ila aisee Novena na Vipimo havifanyi kazi, hii ni kumanisha Mungu hayupo
 
Back
Top Bottom