itakuwa kama srya mambo yalianza hivi hivi. Mwisho wa serikali hii dhaifu inayoshindwa kuchukua uamuzi mgum wa kusolve matatizo ya wananchi umezidi kusogea.
serikali iliyoingia madarakan kwa rushwa huwa hawajali.wabunge ml 10 kwa mwezi dr. Kumpa hata ml 2 ni dhambi? Sasa kuwafukuza hawa madr. Then ulete wa nje kwa gharama kubwa zaidi ya hawa waliopo ni akili au matope? Kumbe hata mh waziri mkuu nae yuko hivyo? Alichokuwa analia bungen kipindi cha...
huyu demu mshamba sana na huwa anapenda kuongea mambo ya kijinga muda mwingi,mambo ambayo hayaendan na maadili, kuna siku nilikuwa na wazazi wangu kwenye gari usiku tunarudi home mida ya saa nne na nusu usiku, nimefungulia clauds fm, mzee akaniambia hakuna steshen nyingine ya redio? Manake hadi...
Wana jf hope wote mko wazima, nina swali ambalo ninahitaji msaada wenu wana jf wenzangu,
ni sifa zipi mtu anatakiwa awe nazo ili awze kujiunga na chuo chochote cha urubani? manaake wengine wanasema physics, maths na geography, wengine wanasema maths, geography na language, lipi ni lipi hapo...
Hi wadau na wana jf wote kwa ujumla, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ni sifa zipi mtu anapaswa kuwa nazo ili akajiunge na chuo cha urubani? manake wengine wanasema lazima physics,maths na geography, wengine wanasema maths, geography na language. msaada wadau manake najua humu ni jungu...
kuwashtaki au kutokuwashtaki kwetu hakutusaidii ni sawa, lakin kwa nn tuanze kujiingiza huko! Hawa waingereza hawajaona nchi nyingine hadi sisi? Sisi tuna kitu gani special? Kwa nn sio kenya ambao tayari majeshi yake yapo somalia? Sio bure lazima kuna kitu.waingereza na wamarekan hawafanyi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.